wanaosema siasa sayansi wana changanya nini na nini?Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.
Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.
Upuuzi mtupu,soma shule wewe maisha huyajui huku nje.Huyo kiongozi wako na usajili wa chama chako hapo chuo,unamsaada gani kwetu ama kwa Watanzania zaidi ya milioni 46?atapunguza bei ya bidhaa?.Zingatia masomo,uje uokoe Taifa vinginevyo utalamba disco na siasa zako ukingoni.
Hujawahi kujiuliza kama lengo la serikali ni kutenganisha "siasa" na "elimu/uongozi" kwa nini kuna kozi kama political science and public administration(PSPA) vyuoni?,au wewe ukisikia jambo unalifuata tu bila kuhoji chochote?Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.
Hujawahi kujiuliza kama lengo la serikali ni kutenganisha "siasa" na "elimu/uongozi" kwa nini kuna kozi kama political science and public administration(PSPA) vyuoni?,au wewe ukisikia jambo unalifuata tu bila kuhoji chochote?
Siasa tafsiri yake ni maisha ya mwanadamu!!,yeyote anayeikana siasa anayakataa maisha yake mwenyewe!
wanaosema siasa sayansi wana changanya nini na nini?
waambie wanaokataza waondoe political science vyuoni
au wanadhani wanafundishwa kwenda kua waosha vyombo?
we mrembo nani kasema? Kwanza siasa ufundishwa huko huko. Alaf kuna vitu vinaitwa training,field n.k sasa nani kakataza siasa/elimu ktk vyuo vya elimu?
<br />Wapendwa watanzania wenzangu napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha ya kuwa, Chuo kikuu cha Dodoma kimempata Raisi ambaye ni jembe(chadema) kukiongoza tena kwa kipindi kingine cha mwaka mmoja. tunafahamu ccm ilitumia mamilioni ya shilingi kufanikisha lakini nguvu ya umma ime play part.
nipe umuhimu wa chadema na sisiem kwa vyuoni.
Ungeanza kujiuliza kwanza umuhimu wa CCM na CHADEMA hapa,manake Jamiiforum ni chuo tosha ku-exercise democracy,chuo si majengo
punguza hasira, hasira zinaharibu mimba. miajibu swali. Ukiona sijauliza ujue najua. Na aulizae ataka kujua.
Hivi nyie si mshakatazwa kuchanganya siasa na elimu.
punguza hasira, hasira zinaharibu mimba. mia