Chadema yabeza V4C ya CUF

Chadema yabeza V4C ya CUF

CDM sio watu hao muwatafutao bali ni wimbo ambao wananchi wanaimba ''Ukombozi'' mtunga nyimbo hata akiondoka wataendela kuimba '' ukombozi'' basi futeni lyrics hiyo waimbe ''mabwepande'' kama ni kiitikio kizuri. Ukombozi ndio suluhisho na lazima nyie akina Ritz tuwapeleke the Hague na kuwanyang'anya pesa zetu mnazoiba. Kaeni chonjo, muda wenu umewadia wa kuondoka. Mimi pekee kijijini kwetu naweza badili wote kuwa CDM.
 
Kwani Chadema ndio nani?...........waache waibeze kwani kishindo cha siasa hawajaanza wao walianza akina NCCR miaka 95 ije kua wao VIchadema...mna wameshajua kua CUF wamejiimarisha na washajua kua CUF wanakuja na nguvu mpya, na hilo litawezekana tu CHADEMA ni Chamtoto tu.
 
".....Mtemelwa alisema chama hicho hakina uwezo wa kuzunguka nchi nzima kunadi mkakati wao na kwamba kusema kinakwenda kubomoa ngome ya CHADEMA jijini Arusha ni siasa za kitoto."

Hapo mimi ndiyo huwa nachoka na CUF,kuweka upinzani kwa vyama vya upinzani,kweli ukiishaolewa kazi kweli kweli.

Very funny!!Kuna wakati kilisemwa kwamba kimepoteza uhalali wa kuitwa chama cha upinzani, sasa hapa nakubali. Sasa badala ya kupambana na chama kilichopo madarakani ili wachukue dola, wao wanapambana na watu wasio na dola. Hahaaa! How come wanakuwa kama wanacounterattack movement za wenzao, kama vile wanablock mafanikio ya CDM ili wao iweje sasa, wachukue nchi au wapewe uongozi shirikishi!?
 
Kwani zinduka iliishia wapi?walikwenda mikoa mingapi?before comment on V4C
 
Chama cha kavu kweli cuf yaani hata kitengo wa wabunifu hawana tatizo wacckie kitu wanakopy sasa hii ni aib.
 
Nadhani mtemelwa asiwabeze cuf uwezo wa kufanya ziara wanao mkubwa tena sana,hivi mume wao akito mgao kidogo wa epa au kagoda mbona uwezo wa kufungua matawi hata nje ya sayari ya dunia wanao,cuf kila wanachofanya ni maelekezo ya chama tawala na kama chadema lazma wawe makini kidogo sababu cuf kazi yake ni kuichokonoa chadema
 
Haya bana. All the best CUF ila kuweni wabunifu badala ya kuiga vya wenzenu. Hawa wakianzisha operesheni Sangara na nyie mnaanzisha Zinduka; wakianzisha M4C na nyie V4C! Hamuwezi kubuni vyenu? Mna vichwa au nazi?

Ukiona hivyo, ujue CUF ni vilaza, kwa hiyo WANAKOPI NA KU...... eheeee sawa kabisa Dudus.
 
wanajaribu, hawajadhamiria kimakusudi kuikomboa nchi toka kwa mafisadi, kama kweli wangekua na dhamira ya dhati, wangalianza hz kampeni back 2000-2005 walipokua kwenye peak! Now ts too late, wameshapoteza mvuto so wanatapatapa na kujaribu lipi litawezekana! Mi namshauri prof lipumba na wenzake aache kuwapotezea mda watz!
 
Hii maana yake ni kuwa hakuna upinzani wa kweli Tanzania ziadi ya njaa. Sijawahi kuona duniani chama cha upizani badala ya kufikiria kukiondoa chama tawala madarakani wao wanafikiria kukiangusha chama kingine cha upinzani. Kunahitajika elimu ya kutosha kwa watanzania juu ya siasa ya vyama vingi na siasa za njaa nyingi. Lengo hapo ni CUF wabakie chama cha kudumu cha upinzani ili kulinda ndoa yao na ccm ambayo bado ni changa. Hii ndiyo sababu kuu nadhani maana ni ajabu kubwa kuwa mpinzani wa mpizani mwenzako kwa kuwa adui yao alikuwa ni mmoja.
 
Hakika cuf ni pandikizi la ccm, haiwezekani chadema iwe na m4c inayoihenyesha serikali holela ya wazembe na wezi , majambazi(mabwepande) ya ccm halafu hawa cuf waje na slogan ambayo waziwazi inapambana na m4c pendwa ya cdm...ilivyo ni kuwa chadema ni mpinzani wa ccm na cuf ni mpinzani wa chadema, kwa hiyo ccm na cuf lao moja(juma nature aliimba 'muungano ccm na cuf wao wanaulilia' na sasa umekuwa
 
V4C manake nini? watoke na kaulimbiu yao wasichanganye wananchi
 
Kwani Chadema ndio nani?...........waache waibeze kwani kishindo cha siasa hawajaanza wao walianza akina NCCR miaka 95 ije kua wao VIchadema...mna wameshajua kua CUF wamejiimarisha na washajua kua CUF wanakuja na nguvu mpya, na hilo litawezekana tu CHADEMA ni Chamtoto tu.
unazungumzia 95 vijana wengi walikuwa hawaja zinduka.usipende kwenda na tarehe ukasahau kuwa siku hazilingani.labda imejipanga kuimarisha ndoa lakin sio kushika dola.hapo wasaha si cuf tu hat ccm
 
Hii inaonyesha jinsi gani cuf walivyo,kazi ni kuua upinzani kama arusha cdm wamefanikiwa kuondoa chama tawala yeye anakuja kufanya nn?...si aende majimbo yaliyoshikwa na ccm kama wao ni wapinzani wa kwel?i mfano jimbo la mtera,na mengineyo
 
Back
Top Bottom