mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,770
- 7,122
lipumbafu naliona hilooo linaungana na lodiRofa mzee wa matusi
Wewe ni bwege kweli yaani hata hujielewiMsaliti namba moja ni Mbowe, alitusaliti wana mabadiliko na kuuza chama kwa fisadi Lowasa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kupata kichekesho hiki nenda ufipa!Si kweli Tanzania tuna Fisadi Magufull tu ambaye amehamishia paton la taifa Chato
Nimechekaje .... hakika Jf hsijawahi muacha yeyote na huzuniWanacheza mziki wa sisiemu taratiiibu, sisiemu wanatisha sana, hivi tactician wao mkuu ni nani?? Jamaa akiamua wacheze sindimba chadema bila kuumiza kichwa wanaingia mazima, akibadili biti la mchiriku masela wa chadema hao, dah!!
....siasa na muzikiii acha kelele cheza muzikiii uuuwiiiiiiiiiii...........
Mpaka 2021 akili zikiwarudi treni itakuwa mbali sana!
Tundu la nyuma limetema!Msaliti namba moja ni Mbowe, alitusaliti wana mabadiliko na kuuza chama kwa fisadi Lowasa
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
PointWanaochochea mgogoro wa CUF ni ccm na CDM kwa maslai yao.
Endeleeni kuibomoa CUF tu ili mvune wanachama wao.