CHADEMA yaanzisha operesheni ondoa msaliti

CHADEMA yaanzisha operesheni ondoa msaliti

pia msisahau kumulika kule Arumeru mashariki, kuna harufu ya usaliti inanuka kule

sent from servant of God

 
Msaliti namba moja ni Mbowe, alitusaliti wana mabadiliko na kuuza chama kwa fisadi Lowasa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe ni bwege kweli yaani hata hujielewi
 
ndio mana Arusha wanasepa

Sent from my SM-G901F using JamiiForums mobile app
 
Lazima wasaliti watambue kuwa UKAWA siyo mahali pao lazima waondoke wakajiunge rasimi na bila kificho na wale walio waita nterahamwe.
 
This time sijaona operation iliyotimia. Porojo tupu
 
Waache utapeli kutaka kutawala vyama vingine kwakutumia kivuli cha UKAWA hewa. Kama kweli wako tayari kuungana wajiunge kisheria na waonyesho mgawanyo wa majimbo kwa usawa.
 
Sisi tuko mikoani safisha wasaliti iyaze tupo tayali

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Wanacheza mziki wa sisiemu taratiiibu, sisiemu wanatisha sana, hivi tactician wao mkuu ni nani?? Jamaa akiamua wacheze sindimba chadema bila kuumiza kichwa wanaingia mazima, akibadili biti la mchiriku masela wa chadema hao, dah!!
....siasa na muzikiii acha kelele cheza muzikiii uuuwiiiiiiiiiii...........
Mpaka 2021 akili zikiwarudi treni itakuwa mbali sana!
Nimechekaje [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .... hakika Jf hsijawahi muacha yeyote na huzuni

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Msaliti namba moja ni Mbowe, alitusaliti wana mabadiliko na kuuza chama kwa fisadi Lowasa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Tundu la nyuma limetema!

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nawaunga mkono muondoeni huyo mzandiki profesa uchwara.
 
Back
Top Bottom