Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaangukia pua zikiwa zimesalia dakika chache!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtu wa Pwani, Oct 26, 2010.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kumekucha ss si watu wa maneno ni vitendo

  Monica Jimotoli.jpg

  JK akipokea bendera ya CHADEMA, kutoka kwa mwenyekiti wa Wanawake wa chama hicho jimbo la Kwimba, Monika Jimotoli mara baada ya kutangaza kukihama chama hicho kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo. Monika amehama chama hicho na wenzake 18.


  sababu ya kujifonyoa kwenye Chama ati kinachojita Mbadala


  Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.

  Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.

  Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.  naam kimekufa na JK amekabidhiwa rasmi Tambara( eeh bendera) ya chama hicho  source: http://issamichuzi.blogspot.com/
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yale yale ya milion sitini, wenye njaa wanasahau kuwa bado hiyo siyo amani yao. Siasa ni zaidi ya dhambi na unafiki.
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Mapandikizi hayo!!!
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  tutaona tar 31 kama wamerudisha kadi tuu au na kura pia!!
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Asante mwafrika Picha ya JK inathamani kuliko nyumba ya jamaa
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  This is not unexpected crap from you! Pathological liar ........!
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hizi siasa za kununua waganga njaa zimepitwa na wakati siku hizi, kama wanaweza wawanunue wapiga kura wote wa Dr Slaa ambao si chini ya 12 million kati ya 19m waliojiandikisha.
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wakati huo huo mama salma anatumia milioni 28 kukodi hili dege la kifahari kwa matumizi ya masaa matano tu:

  [​IMG]
   
 15. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 16. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amefanya jema kumpa huyo mama fedha ambazo hazitamsaidia maana ni siku tano zijazo tu anarudi kwenye umaskini wake:A S angry: Pole mama Monica kwa kujidharirisha. Makamba yuko huko anagawa fedha .:doh:
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hureee!! Cheki alivyoishika bendera kwa uzuri
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Jumla ya Gharama ya Picha zote hizi ...zinadhamani kubwa sana kuliko hizo nyumba...Tuwaachie watanzania waamue CCM kama hajaangukia pua itakuwa imeangukia nini?

  But hiki Chama kimeshindwa kukemea ufisadi sasa ona umasikini unavyoangamiza heshima ya mwanaadamu wa Kitanzania...Msaada anaopewa...Karatasi ya picha ya Kiongozi wake...Wapi heshima ya Utu wa mtu huyo? .... Hao wanoishi hapo ni watu...si wanyama... Ni watu wanaoihitaji kuheshimiwa na kuhusishwa kwenye pato la taifa... Madini, Samaki na rasilimali...kadhaa..lakini...Picha ndio zimekuwa Rasilima na mgao wa Taifa! God Help us!
   
 19. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mmeishiwa mwenyekiti wa wilaya wa akina mama kachoka fitna na majungu ya chadema
   
 20. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,299
  Trophy Points: 280
  Mwafrika - huku ni wapi??
   
Loading...