manga mseke
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 470
- 90
Mtu anayejiinua kwa seta za udini na ukabila amefilisika kisiasa.
Mimi siamini kuwa Waha ni wajinga hata kidogo.
Warundi, ndiyo.
Lakini Waha na ukabila, inashangaza sana.
Hivi kweli karne hii ya 21, mnataka kuleta siasa za Kihutu na Kitusi huku Tanzania?
Ukabila ndugu yangu, kama alivyowahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu J K Nyerere,
ni PRIMITIVE NONSENSE.
Maneno yanaumba.
Hakuna Chama kitakachofanikiwa kikiwa cha kikanda, hata kama ni cha Kanda ya Ziwa.
Kila siku mnazungumzia ukanda, ukanda, this is shame!
MANGI MUMEO YULE WA ROMBO ALIYEKUPACHIKA:mimba:
nani huyo? na padri wa ccm mafisadi ni nani?
Ngoja nimuite faiza Fox aje atuwekee pich ya padri wa chagadema nadhani utamtambua vizuri tu mkuu.
kama chadema hakuna ukabila hebu nipangie list ya top 10 ya viongozi wa juu wa chagadema halafu uone ni namna gani wana uhusiano wa kikanda,kabila, ukoo na hata kuoleana. Panga sasa hivi ukianza na
1.Mwenyekiti
2.katibu mkuu
3.Muweka hazina
4.bavicha
5.bawacha
na kuendelea, hebu weka mlolongo huo tuone kama ukabila upo au la.
Ndiyo hapo ninapo sema unachuki binafsi na watu toka Kilimanjaro,in actual watu wa Kaskazini as if waliwahi kuwaibia.Na wale wanaowaibia mchana kweupe kwa kusingizia Uwekezaji mnawapetpet ili waendele kula na Watanzania tubaki maskini daima.
Kila kitu kinamwisho hakuna mtu aliyesema CDM au CUF au NCCR ni wasafi kwa asilimia 100.Kwa uhakika wanamatatizo yao,ila tunachohitaji ni mabadiliko yatakayotutao kwenye UTUMWA uliokaa kwa takriban miaka Hamsini na ushee.Tukiibiwa wanakuja na nyimbo za AMANI ya NCHI oh mwakani tunategemea.........Leo Waizara ya Ujenzi inamadeni makubwa kuliko bajeti ya Mwaka huu ya Maendeleo,jiulize ni Mpaka lini tuendele kudanganywa?
Mmeshaweka SUMU kwenye vyama vya upinzani mara vita ,mara udini na sasa hivi mmekuja na chorus ya ukabila..Nina uhakika mtashindwa kwa aibu,huyo binadamu toka mkoa wa KILIMANJARO ni MTANZANIA kama wewe na ana haki sawa kama wewe za kuishi popote Tanzania ilimradi tu asivunje sheria.
Huyu Mtanzania toka Mkoa wa KIlimanjaro ana haki ya kuajiriwa kama wewe na familia yako toka Bagamoyo,ana haki ya kuwa kiongozi mahali popote Tanzania...
Cha msingi UBAGUZI sasa imetosha tumewajua kuwa lengo lenu kubwa nikuendelea kuiba,na mbaya zaidi mnazineemesha nchi za wenzenu ya kwenu ikiwa imeparalise kiuchumi.
Na hata bila haya mmeamua mpaka kuwatajirisha wa Kenya kwa Migodi yetu..................Sina tusi kubwa zaidi ya kukudharau..........
mimi ni mzawa kabisa wa kanda ya ziwa chadema haiwezi kufa kanda ya ziwa hata siku 1 sisi huku wote ni wakristo wakulya, wasukuma na wahaya adui yetu wa kwanza ni mkwere na muha mwislam lakini si mkristo hilo halina mjadala
Naona umeamua kumbwerambwera baada ya kupata hicho ki tecno chako,KAYOGA bado inakuchemkia kichwani na ela ya kupata supu ya migebuka huna
unaumwa kaswende ya ubongo kamwone Dr mapema usijeambukiza family.mtu mzima kama hujitambui leo unategemea ujitambue lini?ama bado unanepishwa?
Sawa, hata mtu wa Kilimanjaro ni mtanzania, je wale mnawaita wasaliti na kuwatimua,mbona sio wa kanda ya Kaskazini? huoni ubaguzi mnauendeleza nyinyi!? Halafu usivyokuwa na aibu unadanganya mchana kweupe kuwa chagadema mnataka kututoa utumwani kwa zaidi ya miaka 50!!! huoni hapo ni kulisea heshima taifa zima na waasisi wa Tanzania waliohangaika mpaka UNO kudai uhuru!! hizo propaganda ndio nazichukia. Ww ungekuwa mtumwa ungekua unaandika hayo mafyongo yako huku umetulia na laptop yako na nje umepaki kagari kako bila bughudha!! acha upotoshaji na mwaka huu ndio jahazi lenu linapasuka na lazima mgawane mbao mbakie kuwa historia kama ilivyokua NCCR mwaka 1995.