Mbona ndani ya chadema kuna fisadi mkubwa mnamuogopa? Mafuso mabovu mmeuziwa kwa mamilioni, mnapanga ofisini kwake hadi leo kwa gharama kubwa, hamsemi, watu wanajikopesha ruzuku bila kulipa hamsemi! Wameagiza pikipiki toka japana bila utaratibu na kujipa kazi za uzabuni wakapiga mamilioni hamsemi! Ibada njema inaanzia nyumbani, Inakuwaje hapo kwenu hampaoni mko bize na wengine??