CHADEMA yaaibika Kigoma

CHADEMA yaaibika Kigoma

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
653
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .

LA KUVUNDA HALINA UBANI
attachment.php

Attachments

  • kigoma.png
    kigoma.png
    65.3 KB · Views: 10,352
Mleta mada sijui kala mahagare ya wapi mpuuzi huyu analeta habari za uzushi na umbea

Ukweli utabakia pale pale....
Kukodisha magari kwanini sasa
 
mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano

LA KUVUNDA HALINA UBANI

When you have nothing to say, silence is golden. Busara/ujinga ni kama chupi, kila mtu anajua unayo haina haja uionyeshe hadharani kama wewe unavyotapatapa hapa. Kigoma ni ngome ya upinzani na hilo unalijua. Mwaka wa kumi sasa Rais hajawahi kufika Kasulu au Kibondo na wewe unajua hilo.
 
Naona umelewa kayoga
 
Asante sana mkuu kwa kumpa ukweli ingaw hawezi kukiri
 
mkuh kwahiyo hao watu wanasafirishwa toka wapi? je huko kigoma wenzetu chama chao ni kipi?
 
Sijui utajipangaje ili ueleweke???? Nakuhurumia sana nyundo unazokutana nazo humu mpaka aibu!!!!""
 
Chadema? ibebe watu kutoka kwenye Malori au magari? Hapana hii ngumu kumesa.... sitashangaaa kusikia ukisema kuwa watu hao walitoka kilimanjaro
 
mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano

LA KUVUNDA HALINA UBANI

Alhamdulilah! Naamini Mwenyezi Mungu anawaumbua hawa walokole wa kichaga wanaofadhiliwa na Christian Democratic Union, ili wasitubatize wote.
 
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .

LA KUVUNDA HALINA UBANI
Ni kweli bana wanasomba watu kwenye lori Hahahaha hiyo picha umewaacha uchi.

Teh teh teh
 
Usijifanye huoni lori hilo mbele..... Msiwalazimishe watu bana hatutaki UNAFIKI wenu
Mkuu wangu unadhani hawaoni wanaona sana wanajitia upofu tu.

Lakini umewaumbua sana.

Teh teh teh
 
Chadema? ibebe watu kutoka kwenye Malori au magari? Hapana hii ngumu kumesa.... sitashangaaa kusikia ukisema kuwa watu hao walitoka kilimanjaro

Gari lenyeww umeliona? Eti ndo lilikuwa linasomba wanachama Corolla linabeba watu wa 4 ndo linasomba watu hapo?
 
Kamanda angalia vizuri mbele ya hiyo balloon hauoni lori limebeba makamanda.
 
Back
Top Bottom