MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 30
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa...
Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CDM ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.....
Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CDM kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR...
Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Small minds discuss peopletoka chadema yameingia mazuzu wakina lema, sugu, wenje, mchungaji msigwa,
tundu lisu, mnyika chadema imeharibika kabisa, kutoka chama chenye hoja na wasomi mpaka kuwa chama cha wahuni, majambazi, wavuta bangi, vilaza n.k
Usikatishwe tamaa kama kweli unaipenda CDM Kumbuka CDM imevuka vikwazo vingi mpaka kufika hapa ilipo yani kama kingekuwa chama kingine ingekuwa zimebaki story
Mbaya zaidi ccm wanatumia pesa ,muda na nguvu nyingi sana kuiangamiza !yaani wangetumia huo muda pesa na nguvu kufanya maendeleo nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na hali bora za maisha hasa kwa mwananchi wa kawaida
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa...
Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CDM ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.....
Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CDM kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR...
Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mbowe anafanyia biashara chama kwa nini kisife subilini muone kifo chake kilivyokibaya.
hii ni kali lakini kwelitoka chadema yameingia mazuzu wakina lema, sugu, wenje, mchungaji msigwa,