CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

CHADEMA ya sasa sio kama ile ya 2010...

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa.

Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CHADEMA ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.

Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CHADEMA kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR.

Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa...
Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CDM ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.....
Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CDM kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR...
Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hamia kwetu CCM, huoni hali ya 2010 ni sawa na sasa 2013?
 
toka chadema yameingia mazuzu wakina lema, sugu, wenje, mchungaji msigwa,
tundu lisu, mnyika chadema imeharibika kabisa, kutoka chama chenye hoja na wasomi mpaka kuwa chama cha wahuni, majambazi, wavuta bangi, vilaza n.k
 
Usikatishwe tamaa kama kweli unaipenda CDM Kumbuka CDM imevuka vikwazo vingi mpaka kufika hapa ilipo yani kama kingekuwa chama kingine ingekuwa zimebaki story
Mbaya zaidi ccm wanatumia pesa ,muda na nguvu nyingi sana kuiangamiza !yaani wangetumia huo muda pesa na nguvu kufanya maendeleo nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na hali bora za maisha hasa kwa mwananchi wa kawaida
 
Small minds discuss people
avarage minds discuss events
Great minds discuss ideas...!
 
Usikatishwe tamaa kama kweli unaipenda CDM Kumbuka CDM imevuka vikwazo vingi mpaka kufika hapa ilipo yani kama kingekuwa chama kingine ingekuwa zimebaki story
Mbaya zaidi ccm wanatumia pesa ,muda na nguvu nyingi sana kuiangamiza !yaani wangetumia huo muda pesa na nguvu kufanya maendeleo nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na hali bora za maisha hasa kwa mwananchi wa kawaida

Hili ndio tatizo kubwa la CDM. Wao wana amini kila tatizo linawapata anaeyasababisha ni CCM, ukitofautiana nao mawazo au kuwashauri unaambulia matusi na kuitwa msaliti.
CHADEMA hii ya sasa inaelekea kulekule iliko NCCR, mwaka 2010 ndio ilikuwa kilele chao cha mafanikio na hayatajirudia tena. Wamepanda migogoro kwa sasa wanavuna migogoro na wataarajie kuvuna migogoro 2015. Kuna watu wengi tu ambao walikuwa wanaiunga mkono CDM 2010 ambao kwa sasa hawaiamini tena!

Utaendelea vipi kuimini CDM kuwa inapinga ufisadi wakati mwenyekiti wake anachukua hela kwa Mkono ili hasipige kampeni jimboni kwake na Mkono apite bila kupingwa?
Huyu anayezunguka na helikopta kupinga ufisadi anabadilisha safari ya Mbunge wa viti maalum ili wakale bata Dubai kwa hela ya walalahoi?
Ni wale tu wanaoamini kila wanachoambiwa na viongozi wa CDM bila kuhoji ndio bado wanaishabikia CDM, lakini kwa watu ambao ni critical CDM imepoteza mvuto.
 
Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa...
Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CDM ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.....
Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CDM kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR...
Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hujui mradi wa kuiua CHADEMA uliokuwa ukiendelea kabla wauaji hawajashughulikiwa?Hujui vyama pinzani vya CHADEMA vilivyoanzishwa kuisapoti CCM huku vikiizushia CHADEMA uongo kwa wananchi ili isikubalike?Hujui watu walivyotishwa kwa kubambikiziwa kesi,kuteswa ama kuuwawa kwa kuisapoti CHADEMA?Hujui uchungu wa kusalitiwa na mwanao wa kuzaa kisa baba wa kambo ana hela na madaraka na kamrubuni mwanao akuite kibaka ili jamii ikukatae ingawa huyo baba wa kambo ni jambazi sugu?Usione makamanda wametulia ukaona wameshindwa kwani hii inaweza kuwa mbinu ya mapambano!Kwa sasa tunawaacha wapigane wao kwa wao nadhani umeona Nzega.Hatimae wananchi wataelewa tu kuwa hata kama shetani atatabasamu mchana,usiku lazima akunyonye damu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa mwanasiasa mkomavu lazima ataisifu cdm hii tunayo iona leo, kwani kama kisinge kuwa chama makini leo 2014 kisingekuwepo, siyo siri hata Wasira waziri mwenye dhamana tz alitamka kwamba cdm itakufa kabla ya 2013, we hapo unategemea nini mkuu? Ujue hakuna serikali iliyo madarakani inayopenda kuona chama pinzani kikipata nguvu kama ilivyo cdm.
 
Lkn pamoja na yoote hayoo dhana za ukanda na udini pia ni tatizo ndn ya CDM yetu ilo ni la uhakika na halina pingamizi.....

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbowe anafanyia biashara chama kwa nini kisife subilini muone kifo chake kilivyokibaya.
 
Mbowe anafanyia biashara chama kwa nini kisife subilini muone kifo chake kilivyokibaya.

Sasa mbona wewe unakuja na personal attack? Tujifunze staha hasa kwa viongozi wetu wote wa kitaifa.
 
Wewe wenzako tupo mbeya kwa gari wewe upo mikumi tena kwa miguu bado una imani ya kutukuta kwi kwi kwi...!!!malizia kwenye hoja yako toka zitto katimuliwa ili ujenge hoja ambayo itakurizisha wewe na gambazi wengine samahani mkuu kwa kuingia kwenye fikira zako ila ukweli utaendelea kusimama!
 
Cdm wakimrudisha zito ambaye alikuwa kipenzi cha wazee na wanawake ambao ndo haswaa wapiga kura ndo kitafanya vizuri otherwise rip chagadema.
 
Chadema kushika nchi sahauni Hamna sifa ya kuongoza nchi jipimeni mmedanganya wa tz Na helcopta mkapondwa Ombeni mruke Na ungo
 
toka chadema yameingia mazuzu wakina lema, sugu, wenje, mchungaji msigwa,
tundu lisu, mnyika chadema imeharibika kabisa, kutoka chama chenye hoja na wasomi mpaka kuwa chama cha wahuni, majambazi, wavuta bangi, vilaza n.k
hii ni kali lakini kweli
 
Ukitaka kujua idadi ya wapumbafu tz nenda kadema maana wamejazana huko wakisubiri maandamano
 
Back
Top Bottom