NyunyuMkuu inaonekana wao kwenda leo inakusumbua sana?!!! Wewe ulitaka frequency iweje?
Nichokochoko tu hakuna kingine kwasababu hapa hapa jamvi january kulikuwa na bandiko lilo kuwa linaenda kwa "Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere" ukilipitia utangundua mbowe amekuwa akienda mara kwa mara kwa Nyerere.Haya yalikuwa wazi siku nyingi mkuu!!! Tatizo ni jinsi ulivyouliza, kishari...
Au umeanza kufuatilia siasa juzi nini!!!!
Kwa mjibu wa Regia wanaendelea kukutana na wananchi kwa njia ya maandamano na mikutano vile vile akasema watatembelea na kuweka mashada (pay respect) kwenye kaburi, unataka lengo gani zaidi. Wewe ukitembelea makaburi ya wazee wako huwa una malengo gani zaidi hebu tujuze na sisi.Lengo ni nini hasa dada Regia?
Wakuu, Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.
Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.
Kwa mjibu wa Regia wanaendelea kukutana na wananchi kwa njia ya maandamano na mikutano vile vile akasema watatembelea na kuweka mashada (pay respect) kwenye kaburi, unataka lengo gani zaidi. Wewe ukitembelea makaburi ya wazee wako huwa una malengo gani zaidi hebu tujuze na sisi.
Ni vyema wakaeleza wenyewe Chadema kwanini wanatembelea kaburi la bwana mkubwa kwani inaweza kueleweka kua wakichukua madaraka wataongoza kama mwalimu.Nichokochoko tu hakuna kingine kwasababu hapa hapa jamvi january kulikuwa na bandiko lilo kuwa linaenda kwa "Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere" ukilipitia utangundua mbowe amekuwa akienda mara kwa mara kwa Nyerere.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/15996-uhusiano-wa-freeman-mbowe-na-jk-nyerere.html
Sidhani kama kuna dini inayokataza kuzuru makaburi (wakristo na waislam), ni biblia gani hiyo labda yangu ni tofauti, naomba tusiliendeleze sana hili.Mkuu umejibu vizuri sana, sikua na tatizo kuuliza, pili Imani yangu inanikataza kwenda kuzuri makaburi na iko very clear kwenye biblia. Though siko kidini hapa niko kisiasa zaidi. Nilitaka kujua lengo kwa sababu zifuatazo.
1. Nyerere ni muasisi wa CCM
2. Nyerere anachukuliwa na wengi kama baba wa Taifa
Kwenda kuhudhuria kaburi kuna malengo gani? JUST pay respect? thats all?
Wakuu,
Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.
Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.
Hauna Kulala Mpaka Kieleweke.
Aluta Continua
Kutoka Musoma
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Sidhani kama kuna dini inayokataza kuzuru makaburi (wakristo na waislam), ni biblia gani hiyo labda yangu ni tofauti, naomba tusiliendeleze sana hili.
1. Ila sijakuelewa unaposema Nyerere ni muasisi wa CCM kwa hiyo una maana wengine hawaruhusiwi kwenda kwenye kaburi lake.
2. Unaposema anachukiwa na wengi (wepi?), tusifike huko aliyekufa amekufa hata kama ulikuwa na differences once akitangulia mbele ya haki ni kibinadamu kumpa heshima zake.
Wakuu,
Baada ya kuingia Musoma na kufanikiwa kufanya maandamano kwa amani na utulivu mkubwa leo vikosi vitatembelea Wilaya za Mkoa huu. Lakini kabla ya kwenda kwenye wilaya, Viongozi wote tukiongozwa na Kamanda Mbowe tutaelekea kuzuru kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere na kuweka mashada ya maua.
Vikosi leo vitaelekea Tarime, Rorya, Bunda, Serengeti, Mwibara na Musoma Vijijini.
Hauna Kulala Mpaka Kieleweke.
Aluta Continua
Kutoka Musoma
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Unajua Nyunyu walitegemea CDM hawatafika kwenye kaburi ili kesho iwe issue kwenye magazeti, sasa imekuwa kinyume inabidi nao wa criticize kinyumenyume bila kuwa na sababu za msingi. Ndiyo maana mtu anakuja na sababu eti kwa nini CDM inakwenda kwa muasisi wa CCM mara CDM haijawahi kwenda kwenye kaburi toka azikwe ila wakakuta watu wana data za miaka 10 iliyopita.Swadakta mkuu, hapo penye bold!!! Nadhani kwenye jibu lake la pili laweza kufit essence ya CDM; who knows!! To me, wameamua kwenda kwa kuwa ni Baba wa Taifa, na wako ndani ya mkoa alikotoka na kuzikwa; what is the issue kwenda kuweka maua; to my understanding kila mtu anaweza kwenda pale, na kutembelea pia makumbusho yake!!!
Mimekuuliza una uhakika au unaandika tu almradi umepost jishughulishe usisubiri kutafuniwa kila kitu.