CHADEMA wazuiwa kufanya mkutano Mbarali

If, you are real man, stand on the nail. Mnyoo wa nyumbu wewe. Ukicheka na nyani utaambulia patupu, we are focus on the national issues siyo mikutano ya taarabu hapa. KAZI ZINAENDELEA
SUKUMA GANG muda wenu ushapita na roho mbaya zenu
 
Kwanza kabisa mimi si chadema wala si madema, siungi mkono chama chocote kile cha siasa Tanzania, kwa sababu vyama vyote vinaongozwa na wanafiki na wabadhirifu wa mali za umma.

Pili turudi kwenye suali langu, suali langu lina base na kauli rasmi ya serikali kuwa Tanzania hakuna corona. Sasa kama unaweza jibu hilo nijibu, huwezi waachie wengine wajibu, usinivishe uanachama wa chama chocote kile.
Chadema wanasema corona ipo ndio uwaulize kwa nini wanataka kufanya mikutanano wakati hadi wafadhili wao waliwaambia hivyo .Kashtakini kwa watetea haki za binadamu popote duniani kuwa mnaonewa mikutano ni haki yenu ruksa.Mwambieni Amsterdam na Lisu wavalie njuga hiyo kesi ruksa kadhtakini jumuiya ya kimataifa mkitaka hata umoja wa mataifa wanafiki nyie.Magufuli fufuka huko uliko uje utembeze kipigo cha mbwa koko kwa hawa wanafiki
 
Na mbowe juzijuzi katoka kuchanjwa
 
Walifurahi mno na kufanya sherehe waliposikia Magu kafariki na haraka wakaanza kujipendekeza kwa mama Samia.Hawa ni wajinga hawajui maana ya KAZI IENDELEE 😁😁
 
Back
Top Bottom