CHADEMA wazuiwa kufanya mkutano Mbarali

Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

Kwani kuliwahi kuwa na barua ya kufungia Mikutanao ya hadhara au ni nanihii tu ?
 
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

Jamani! Hata 40 bado mmeshaanza vurugu?

Hebu kuweni wavumilivu, mama amewaahidi ni kipindi cha Watanzania kuwa wamoja kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote, na amesema ni kipindi cha kufutana machozi. Punguzeni haraka haraka mtaharibu.

Kitu kimoja muelewe. Magufuli alikuwa rais kupitia ccm, na Mama Samia ni CCM, serikali iliyopo madarakani ya CCM na inaongozwa kwa ilani ya CCM. Acheni vurugu Serikali ya Samia ina mengi ya kutufanyia
 
angalieni afya zenu kwanza hao wahuni na mikutano yenu wakati kuna corona ni sawa na mtu anatangaza amani huku kaficha mapanga hatuwahitaji bavicha kwa sasa
 
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

Endeleeni kuzuia mikutano ya hadhara, unachokipanda mtakivuna.
 
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

sasa wewe ndugu mbona unazidi kututatiza? Hebu rejea paragrafu yako ya mwisho. Hivi kwani Tanzania kuna corona? Na toka lini vibarakoa vimekuwa ni lazima nchini? Na hili la mikusanyiko pia, toka lini limekatazwa? Mbona mazishi ya jiwe watu hawakuzuiwa kujikusanya namna ile?
 
Chadema ni waumini wakubwa wa kuamini Corona ipo Tanzania .Mikutano ya hadhara kwa mtu anayeamini Corona ipo ni marufuku
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

uko sahihi hawa chadema wajinga fulani hivi wanaamini Corona ipo sasa mikutano ya nini? Mbowe na Lisu na Chadema nzima wanaamini hivyo

Hongereni polisi kuwasaidia wasiambukizane Corona sababu Chadema ipo kwao
 
Back
Top Bottom