CHADEMA: Waziri kivuli wa viwanda na biashara Anthony Komu na naibu wake Cecicl Mwambe watazungumza na wandishi wa Habari

Chadema habari zinazowahusu kama hizi huwaoni huku wako bize na habari za CCM pumbavu sana
 

Huyu mropokaji atatupeleka kubaya sana, kuanzia makanikia through korosho na vikokotoo, hakuna litakalo mature, lolote likifanikiwa ntajitoa ufahamu nipeperushe bendera ya ccm.psssf is going to die very soon, na litamfia msukuma mwenzie alomteua juzi.mindege itatuletea janga la ku drain kodi zetu ku maintain hayo madege.
Mungu ulieumba ulimwengu na kuipa tanzania ukombozi tuokoe kwa kuondoka na roho ya huyu bwana maana ataangamiza waana wako na waja wako.AMINA.
 
Leo watu wako kwenye msiba wa kitaifa kule Clouds media!
Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !

Kiukweli msiba wa Ruge ni msiba wa familia yake na wafanyakazi wenzie tu , msitafute kiki kwenye mambo ambayo hayawahusu , na mkileta fyoko fyoko tutafunguka na kuchafua hali ya hewa vibaya sana !
 
Waandishi wa habari wote wako hap..........Endeleeni kusubiri!
 
Hivi wewe unaumwa nini aisee ?
Chadema michango ya maendeleo huwa hawachangii sijui kwa nini kinajiita chama cha demokrasia na maendeleo matapeli wakubwa neno Maendeleo liondoeni kwenye jina la chama.Kiiteni chama cha demokrasia au kifupi CHADE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…