Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,898
Waziri Kivuli wa Biashara na naibu wake watazungumza na wandishi wa habari kwenye makao makuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo ( Chadema)
Updates
=====
Updates
=====
Waziri Kivuli wa Biashara na naibu wake watazungumza na wandishi wa habari kwenye makao makuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo ( Chadema)
Updates
=====
Mbona kimya?!!Safi sana.Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Pumbavu na wewe kama ulivyo bize hukuChadema habari zinazowahusu kama hizi huwaoni huku wako bize na habari za CCM pumbavu sana
Waambieni wanachi juu ya hasara yote iliyoletwa na maamuzi ya MTU mmoja anayeendelea kutuingiza mkenge kila Mara Kwa visasi vyake nakutumia akili za matopePumbavu na wewe kama ulivyo bize huku
nasema hivi wanunuzi wa korosho msilogwe mkazinunua acheni zife naye huyu Kichaa Kichaa. Mwacheni ahangaike nazo mpaka zimfie kabisa ili liwe kosa moja somo takatifu.
Mkilogwa mkajiingiza kwenda kusaidia mjue mnamsaidia joka kutoka kwenye dhahama sasa litawageuga siku ikifaa.
Mwacheni nasema mwacheni ahangaike nayo ili wanainchi wawaone nyinyi ni lulu sio wanasiasa wakiwaaibisha kwenye mimbari zao wanashangilia na mkiwekwa kitu moto wanafurahi sasa ni zamu yenu kufurahi mpaka washike adabu ili kesho wakiwaona wawalambe miguu.
Yaani hili litatufanya wanainchi tuamke toka usingizini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo msiba wa Ruge umekuwa wa CCM.Chadema habari zinazowahusu kama hizi huwaoni huku wako bize na habari za CCM pumbavu sana
Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !Leo watu wako kwenye msiba wa kitaifa kule Clouds media!
Hivi wewe unaumwa nini aisee ?Chadema habari zinazowahusu kama hizi huwaoni huku wako bize na habari za CCM pumbavu sana
Waandishi wa habari wote wako hap..........Endeleeni kusubiri!Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !
Kiukweli msiba wa Ruge ni msiba wa familia yake na wafanyakazi wenzie tu , msitafute kiki kwenye mambo ambayo hayawahusu , na mkileta fyoko fyoko tutafunguka na kuchafua hali ya hewa vibaya sana !
endelea kuleta fyoko fyokoWaandishi wa habari wote wako hap..........Endeleeni kusubiri!
Wamekimbia wameona hakuna hata mwenye kasimu ka Nokia Torch kakurekodi wanayoongea wameingia mitini kwa kukosa waandishi wa habariWaandishi wa habari wote wako hap..........Endeleeni kusubiri!
Hahahaa........ Waambie Komu na Mwambe waongee tu na Mwanahabari huru!endelea kuleta fyoko fyoko
Waziri Kivuli wa Biashara na naibu wake watazungumza na wandishi wa habari kwenye makao makuu ya Chama cha demokrasia na Maendeleo ( Chadema)
Updates
=====
Chadema michango ya maendeleo huwa hawachangii sijui kwa nini kinajiita chama cha demokrasia na maendeleo matapeli wakubwa neno Maendeleo liondoeni kwenye jina la chama.Kiiteni chama cha demokrasia au kifupi CHADE.Hivi wewe unaumwa nini aisee ?