CHADEMA: Waziri kivuli wa viwanda na biashara Anthony Komu na naibu wake Cecicl Mwambe watazungumza na wandishi wa Habari

Nimeona cdm wanazungumza kitu Chenye kufikirika, au kwa sababu mwenyewe yupo lupango?
 
Chadema michango ya maendeleo huwa hawachangii sijui kwa nini kinajiita chama cha demokrasia na maendeleo matapeli wakubwa neno Maendeleo liondoeni kwenye jina la chama.Kiiteni chama cha demokrasia au kifupi CHADE.
unasema wewe kama nani ? Masikini mkubwa wee !! Chama cha mapinduzi mbona kimeshindwa kupindua dhiki za nchi na bado kipo tu ?
 
Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !

Kiukweli msiba wa Ruge ni msiba wa familia yake na wafanyakazi wenzie tu , msitafute kiki kwenye mambo ambayo hayawahusu , na mkileta fyoko fyoko tutafunguka na kuchafua hali ya hewa vibaya sana !
Kaka kila mahali kwa hii awamu ni chuma cha moto haki shikiki waache wabebe misiba tuu. Koroshow moto, kikotoo moto, ndege moto, dollar moto, uchumi moto, maisha moto washike lipi zaidi ya misiba na kuvaa Nguo zako kijani?? Hilo wana liweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema michango ya maendeleo huwa hawachangii sijui kwa nini kinajiita chama cha demokrasia na maendeleo matapeli wakubwa neno Maendeleo liondoeni kwenye jina la chama.Kiiteni chama cha demokrasia au kifupi CHADE.
Unataka kusema Chadema hawalipi kodi? au michango ya mendeleo wewe unayosema ni ipi?
 
Back
Top Bottom