CHADEMA: Waziri kivuli wa viwanda na biashara Anthony Komu na naibu wake Cecicl Mwambe watazungumza na wandishi wa Habari

laptop90

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,048
2,000
nasema hivi wanunuzi wa korosho msilogwe mkazinunua acheni zife naye huyu Kichaa Kichaa. Mwacheni ahangaike nazo mpaka zimfie kabisa ili liwe kosa moja somo takatifu.

Mkilogwa mkajiingiza kwenda kusaidia mjue mnamsaidia joka kutoka kwenye dhahama sasa litawageuga siku ikifaa.

Mwacheni nasema mwacheni ahangaike nayo ili wanainchi wawaone nyinyi ni lulu sio wanasiasa wakiwaaibisha kwenye mimbari zao wanashangilia na mkiwekwa kitu moto wanafurahi sasa ni zamu yenu kufurahi mpaka washike adabu ili kesho wakiwaona wawalambe miguu.

Yaani hili litatufanya wanainchi tuamke toka usingizini

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu mropokaji atatupeleka kubaya sana, kuanzia makanikia through korosho na vikokotoo, hakuna litakalo mature, lolote likifanikiwa ntajitoa ufahamu nipeperushe bendera ya ccm.psssf is going to die very soon, na litamfia msukuma mwenzie alomteua juzi.mindege itatuletea janga la ku drain kodi zetu ku maintain hayo madege.
Mungu ulieumba ulimwengu na kuipa tanzania ukombozi tuokoe kwa kuondoka na roho ya huyu bwana maana ataangamiza waana wako na waja wako.AMINA.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,415
2,000
Leo watu wako kwenye msiba wa kitaifa kule Clouds media!
Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !

Kiukweli msiba wa Ruge ni msiba wa familia yake na wafanyakazi wenzie tu , msitafute kiki kwenye mambo ambayo hayawahusu , na mkileta fyoko fyoko tutafunguka na kuchafua hali ya hewa vibaya sana !
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,292
2,000
Msiba wa Kitaifa wa Studio iliyovamiwa na Makonda , ambao walijaribu kutafuta haki ( Nape ) wakafutwa Kazi , aliyevamia akabakishwa !

Kiukweli msiba wa Ruge ni msiba wa familia yake na wafanyakazi wenzie tu , msitafute kiki kwenye mambo ambayo hayawahusu , na mkileta fyoko fyoko tutafunguka na kuchafua hali ya hewa vibaya sana !
Waandishi wa habari wote wako hap..........Endeleeni kusubiri!
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,443
2,000
Hivi wewe unaumwa nini aisee ?
Chadema michango ya maendeleo huwa hawachangii sijui kwa nini kinajiita chama cha demokrasia na maendeleo matapeli wakubwa neno Maendeleo liondoeni kwenye jina la chama.Kiiteni chama cha demokrasia au kifupi CHADE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom