Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.