BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.
chadema halisi ndo sisi na dk.slaa, waliobaki wapika dili. CHADEMA imekuwa kama dodoki kufyonza uchafu unaotemwa CCM eti ndo majembe ajabu! wamebaki kizazi chanyoka waliokosa maalifa na kusifia uovu na waovu!