CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.

Vijana wa january hao teh teh teh kazi mnayo mwaka huu!!
 
Mko na dr. Slaa mwaendapi?au ndo mwaenda ccm?Kama huu uzi ni wa kweli, kuna watz. wagumu kuelewa. Mbona jamani hii hali ya maisha inatupiga % kubwa?bahati mbaya hata hao wakuu wa ccm wanaopiga pesa refu,biashara zao na hizo pesa wanaozifaidi ni watu wa nje ya nchi.Wanatuibia kisha wanazizungushia nchi za nje.Twalala na kushinda njaa bado twawashabikia....
 
Hao ni wale ambao aidha hawajui siasa ama ni mamluki. Lengo la chama chochote ni kuchukua dola sasa fursa ikijitokeza kwanini kuitupa? Ndio maana mimi namtunuku mbowe phd ya siasa. A true politician ready to take risk. But he knows that the high the risk.the high the return

Kwahiyo hata shetani akijtokeza ni sawa tu kisa huwezi kutupa fursa kweli unaakili za mgando.
 
Hao ni wale ambao aidha hawajui siasa ama ni mamluki. Lengo la chama chochote ni kuchukua dola sasa fursa ikijitokeza kwanini kuitupa? Ndio maana mimi namtunuku mbowe phd ya siasa. A true politician ready to take risk. But he knows that the high the risk.the high the return
ok ni risk..lakini itakula kwake. hesabu zake zimekwenda harijojo. oct 25 tunamchagua mtu muadilifu na mchapakazi tingatinga magufuli.
 
Kumbe unajua kuna chadema wazalendo!!

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.

Ni akina nani hao?
 
UVFISIEM Wameshavulugwa mbaya. Kazi ni Kujitekenya na kucheka wenyewe. KAZI MNAYO KWANI ADUI YETU MKUBWA NI MKOLONI MWEUSI CCM, Viva Tanzania.
 
Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.
UTAFITI MWINGINE ULIOFANYWA KWA SIRI NA CHAMA CHA ACT LOWASSA AMGARAGAZA TENA MAGUFULI. Kuna habari mpya imeibwa kutoka ACT. Chama cha ACT baada tafiti mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu, na wao waliamua kuchukua taasisi moja (jina tunalihifadhi) ambapo waliingia makubaliano ya kufanya utafiti juu ya chama na mgombea anaekubalika kuelekea uchaguzi mkuu. Waliwasisitiza sana wafanye utafiti wa kitaalam pasipokuegemea upande wowote (hata kwao ACT) ili waweze kupata matokeo halisi yanayoakisi uhalisi. Hii sio tu kujua chama kinachokubalika bali pia kuwawezesha kujua ni kwa kiasi gani wao kama ACT wanakubalika na kwa muda wa lala salama wajipange vipi. Utafiti huu umefanyika katika mikoa 20 ya Tanzania, bara na visiwani, mjini na vijijini kwa kutumia wataalam walobobea na kwa kuzingatia vigezo vya kitaalam vya kitafiti. Lowassa kaongoza mikoa 13 kwa asilimia nyingi na Magufuli mikoa 7 asilimia ndogo. Kwa mujibu wa utafiti huu ambao matokeo yake yametoka jana Alhamisi tarehe 8 October 2015, kama kura zingepigwa jana basi, basi haya ndo matokeo halisi kwa upande wa wagombea urais.

1. Mtwara: LOWASSA 48%, MAGUFULI 47, ACT 3%, wengine 2%.

2. Kilimanjaro: LOWASSA 71%, CCM 26%, ACT 2% na vyama vingine 1%.

3. Singida: MAGUFULI 51%, LOWASSA 45%, ACT 3%, wengine 1%.

4. Dodoma: MAGUFULI 56%, LOWASSA 41%, ACT 2%, wengine 1%.

5. Mbeya LOWASSA 75%, MAGUFULI 23%, ACT 1% wengine 1%

6. DSM: LOWASSA 70%, MAGUFULI 26%, ACT 3% wengine 1%

7. Mwanza: LOWASSA 59%, MAGUFULI 36%, ACT 4% wengine 1%.

8. Pwani LOWASSA 48, MAGUFULI 48%, ACT 3%, wengine 1%.

9. Simiyu: MAGUFULI 50%, LOWASSA 47, ACT 2%, wengine 1%.

10. Tanga: LOWASSA 54%, MAGUFULI 42%, ACT 2%, wengine 2%.

11. Arusha: LOWASSA 73%, MAGUFULI 25%, ACT 1%, wengine 1%.

12. Manyara LOWASSA 61%, MAGUFULI 35%, ACT 3%, wengine 1%.

13. Kagera LOWASSA 57%, MAGUFULI 40%, ACT 2%, wengine 1%.

14. Pemba kas LOWASSA 82%, MAGUFULI 14%, ACT chini ya 1%, wengine 3%

15. Mjini magh LOWASSA 51%, MAGUFULI 44%, ACT chini ya 1%, wengine 4%.

16. Unguja kas MAGUFULI 48%, LOWASSA 43%, ACT 1%, wengine 8%.

17. Tabora: MAGUFULI 54%, LOWASSA 39%, ACT 5%, wengine 2%.

18. Kigoma: LOWASSA 44%, MAGUFULI 36%, ACT 18%, wengine 2%.

19. Geita: MAGUFULI 65%, LOWASSA 33%, ACT 1% wengine 1%.

20. Morogoro: MAGUFULI 51%, LOWASSA 46%, ACT 2%, wengine 1%.

Pia matokeo ya jumla yameonyesha kuwa LOWASSA angeshinda/atashinda kwa 54.2%, akifuatiwa na MAGUFULI 41.7%, ACT 3.3% huku wagombea wengine kwa ujumla wakiambulia chini ya 1%.

NB! Naendelea kufanya juhudi niwatumie vipengele vingine vya huu utafiti hususan upande wa wabunge, udiwani, kukubalika kwa kila chama kwa jinsia, umri nk
 
Chadema bila Dr Slaa ni shidaaaaa

Mtaangaika sana fisiem..hyo dr mihogo chadema aliikuta nashangaa mnaomwita chadema asilia!!! Chadema asilia anawajua Mbowe tu,Freeman ndo anajua alianzaje na chadema ilikuaje..Slaa na yy ni mamluk tu..Na kuhusu wazalendo ndo ss hatubabaiki hata iweje..we know want want n just so u know..asilimia 100 ya chadema wazalendo tulifanya maamuz hata kabla kampen hajijaanza kutubadili mawazo haiwezekani..
 
Hao ni wale ambao aidha hawajui siasa ama ni mamluki. Lengo la chama chochote ni kuchukua dola sasa fursa ikijitokeza kwanini kuitupa? Ndio maana mimi namtunuku mbowe phd ya siasa. A true politician ready to take risk. But he knows that the high the risk.the high the return

Mkuu asihangaike na hao kwani ni MAFISIEM / Umoja wa vijana FISIEM (UVFISIEM) na propaganda zao za majitaka za Lumumba ambao ndio wahanga wakubwa wa MABADILIKO wengi wao kula kulala MASAKI na wengine ni vibarua tu kazi zao kushinda/kukesha mitandaoni kupost UTUMBO MTUPU. Kutoka rohoni huwa SIWAPENDI.
 
We ---- kweli yaani lowasa ndio kila kitu kwa sasa achana na huyo Dr mihogo
 
Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.

Hapa ni LOWASSA na UKAWA tu mpaka kieleweke tarehe 25 oktoba 2015 viva LOWASSA viva UKAWA wasaliti wote pamoja na ccm yao tupa kule
 
Back
Top Bottom