Chadema wawasha mwenge

Chadema wawasha mwenge

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Chadema mkoa wa Mara wamewasha mwenge(taa ya kandili-chemli) itakayozunguka mkoa wote wa mara kumulika ufisadi na kuungamiza. Source ITV news.
 
Nani aliyeongoza tukio hilo? Any way good move.
 
Huku tunakoelekea kutamu, kweli tanzania itaokolewa au kuangamizwa na watanzania wenyewe.... na dawa ya ubaya si kuusema tu bali kuukataa kwa vitendo na kwa nguvu zote!!!🙂
 
wawashe hata matairi yaani mwaka huu hakuna mchezo ...wazmezidi sana usanii hawa CCM
 
Chadema mkoa wa Mara wamewasha mwenge(taa ya kandili-chemli) itakayozunguka mkoa wote wa mara kumulika ufisadi na kuungamiza. Source ITV news.

Safi sana endelezeni mapambano! Tanzania ikombolewe kutoka kwenye wimbi la ufisadi, rushwa, matumizi ya mabavu ktk uongozi, kama mwenge wa Mwalimu Nyerere na wakoloni, wahujumu uchumi, wala rushwa. VERY GOOD CHADEMA, Mwenge wenu usiishie Mara tu na Uzunguke Tanzania nzima kwani mafisadi wapo kote Tanzania.
 
Limeongozwa na mh. Shibuda mb wa maswa.
 
Nguvu ya umma ni kama maji ya mafuriko, ni vigumu kuzuiliwa na mifuko ya siment iliyojazwa mchanga ndani......!!!
 
AG WEREMA anasemaje juu ya kua na mienge miwili ktk nchi?ule wa ccm upo ktk katiba ya nchi au ya ccm?
 
hiyo kali nafikiri umefika mahali tuwapigane kwa nguvu zote dhidi ya huu ufisadi hapa Tz
 
Aluta continua......

Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeplez Powere
 
Chadema mkoa wa Mara wamewasha mwenge(taa ya kandili-chemli) itakayozunguka mkoa wote wa mara kumulika ufisadi na kuungamiza. Source ITV news.
Hongera sana CDM maana mmerudi kwenye maana halisi ya mwenge - kumulika.
 
Back
Top Bottom