tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
namshukuru mungu.mara nyingi chadema wanapotoa tamko lolote naweza kugundua kwamba wamecheza kete gani.hawa jamaa wamekosa mvuto hususan dar,kwa hiyo matarajio yao kutaka kuwagusa watu wa dar sehemu ya matatizo yao.hizi ni mbinu alizitumia Adolfu hitla kwenye kampeni zake.