Chadema watifua ndani ya Kilosa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema watifua ndani ya Kilosa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtego wa Noti, Sep 26, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Leo ndani ya Kilosa ilikuwa ni patashika nguo kuchanika pale ambapo uongozi wa wilaya ya Kilosa walipotifua na kuonesha umma wa watanzania kuwa sasa kilosa siyo ngome ya CCM kama ilivyokuwa ikiaminika.
  Wakipanda jukwaani kwa zamu, makamanda mbalimbali wa ndani ya wilaya ya kilosa walishambulia jukwaa na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuanika maovu y CCM na serikali yake kwa wananchi.
  Vilevile viongozi hao wa CDM kilosa wamekemea tabia ya CCM kuoneza propaganda za kidini na kikanda kwa chama cha demokrasia na maendeleo baada ya kuona kuwa moto ulioanzishwa na chadema wa kudai mabadiliko hauzimiki.
  Cheki picha mwenyewe hali ilivyokuwa jembe la chadema la kimamba, kilosa jukwaani.jpg mkutano wa chadema kilosa.jpg Katibu wa chadema wilaya ya kilosa.jpg !
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Bado watu wanauoga mbona wanajificha....CCM sumu wanayoieneza ya udini itawarudi...........
   
 3. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kudos Ndio matunda ya M4 C hayo , Ndio maana magamba wanamtumia Tendwa ili atafute jinsi ya kuizuia
   
 4. G

  Gene Senior Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataelewa tu
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mbona watu kiduchu hivyo utadhani halmashaur ya kijiji
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CHADEMA ndio nuru inayowamulika watanzania wote. No Chadema no Tanzania.
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  inaonekana mpiga picha sio proffesional. Amepiga jukwaa kuu akaacha hadhira ambayo ndio most interested part.
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Yes hapakuwa na mahudhurio mazuri kutokana na woga wa kilichotokea wiki chache zilizopita,ushauri ni kuwa makamanda wasikate tamaa hata siku moja,baada ya siku chache nawashauri warudi tena kilosa,woga utawa umepungua na mahudhurio yatarudi kwenye level ya kawaida ya chadema,Big Up makamanda.
   
 9. r

  raymg JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  weka bs uliyopiga kama proffesional....
   
 10. r

  raymg JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Me naona kwa idadi hii ya watu...bado kilosa n ngome ya CC!
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 12. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  cc ndo nini sasa.... K. We
   
 13. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  penye nia pana njia
   
 14. k

  kipuri Senior Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Idadi ya watu inaonyesha jinsi gani watu walivyochoka vurugu za CHADEMA
   
 15. t

  tenende JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kazi kubwa andaeni wahutubiaji wengi wazuri jukwaani na kuandaa wapigakura na wagombea kwa ajili ya chaguzi zijazo.
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yakhe, ndo hali ya kipwanipwani hiyo, unamwona mwanamke aliyejitenga peke, tuna hali ya ustahiki ambayo hatuchangamani, kuna mipaka kati yetu kwa misingi ya gander ingawa huko pembeni tunakumbatiana bila kuachana.
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hii picha ni kujitia aibu tu nyie magwanda
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa kasimama kwenye dawati ama?
   
 19. p

  politiki JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Picha hii ni nzuri kwa sababu inakupa picha halisi ya nini kinaendelea kwy ground kuliko ile imejaa watu wa kusombwa
  na malori. wana strategy wanapenda picha kama hizi kwa maana unajua wapi pa kukaza na wapi pa kulegeza.
   
 20. g

  gagonza JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  it is a good start for kilosa, before hatukuwa hata nao watu.big up
   
Loading...