Chadema watamfukuza kazi mkurugenzi wa Moshi

muhosni

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,108
152
Ni kutokana na waajiri wake yaani madiwani kufanya maamuzi na mkurugenzi huyo kupinga. Kama serikali watamkingia kifua Chadema watamfungia nje. Walifanya hivyo Karatu na wanaweza kufanya moshi mjini

ITV habari
 
propaganda tu za kijinga! malizeni kwanza ufisadi ndani ya chadema mnanunua magari mabovu mnataka Zitto asiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
propaganda tu za kijinga! malizeni kwanza ufisadi ndani ya chadema mnanunua magari mabovu mnataka Zitto asiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Afadhali ukutane na dubu aliyenyang'anywa watoto kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. Wewe kama umeenda shule kweli ni DED gani anweza kukacha kikao cha Baraza la madiwani halafu abaki kuwa mwajiriwa wa hiyo halmashauri?
 
propaganda tu za kijinga! malizeni kwanza ufisadi ndani ya chadema mnanunua magari mabovu mnataka Zitto asiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ufisadi uko wapi, walikuwa kwenye kikao wanajadili mawazo yakatoka hakuna siri hapo sasa ufisadi uko wapi. Ukumbuke Chadema ni chama cha siasa. Mbona hushangai kuwa na ofisi za kupanga maeneo duni? Mbona hushangai viongozi wake wengi wanatembea kwa baiskeli, miguu, daladala?

Je katiba ya Chadema inasemaje kuhusu manunuzi? Kama inakataza kununua vilivyotumika haiwezekani, kama haisemi lolote then ilikuwa inajadilika. serikali hatutaki tununuliwe vichakavu kwani kodi zetu ndizo hutumika na kila mlipa kodi anawajibu na kufuatwa kwa sheria tulizojiwekea.

Hata mimi sipendi manunuzi ya vitu chakavu au vilivyotumika kwani ni gharama sana kuvitunza. Na ni vyema kuishi kwa unayohubiri. Ila mijadala sio ufisadi. Chadema kuna demokrasia ndio maana walijadiliana.
 
propaganda tu za kijinga! malizeni kwanza ufisadi ndani ya chadema mnanunua magari mabovu mnataka Zitto asiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Amesema Zitto wamemsikia wewe inakuhusu nini? Au unataka iweje? Mkurugenzi asichukuliwe hatua? Hayo yanawezekana na CCM tu.
 
propaganda tu za kijinga! malizeni kwanza ufisadi ndani ya chadema mnanunua magari mabovu mnataka Zitto asiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu, hapa unakuwa kama mwalimu anayegombana na mzazi kwenye pombe kisha anamchapa mwanae kesho yake darasani. Nenda na hoja maswala ya magari ya cdm yana uhusiano gani na mkurugenzi kusimamishwa? Wa2 wengine bwana!
 
Amesema Zitto wamemsikia wewe inakuhusu nini? Au unataka iweje? Mkurugenzi asichukuliwe hatua? Hayo yanawezekana na CCM tu.
Unajua mkuu, hawa jamaa wa chama cha magamba walishazoea zidumu fikra za mwenyekiti sasa wanaishangaa mijadala na kuiita marumbano. Achana nao!
 
Ni kutokana na waajiri wake yaani madiwani kufanya maamuzi na mkurugenzi huyo kupinga. Kama serikali watamkingia kifua Chadema watamfungia nje. Walifanya hivyo Karatu na wanaweza kufanya moshi mjini

ITV habari
Dhamira ya madiwani kutaka kutoa elimu ya sekondari bure ilikuwa nzuri na inawezekana.lakini hapo mkurugenzi anailinda serikali ya ccm kwa kuyabeza mawazo ya chadema.
Kumfukuza ni ngumu,zaidi atahamishwa kituo tu.
 
Back
Top Bottom