Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,367
- 6,493
Kama akili yake ni kubwa, je Tanzania kuna asilimia ngapi ya population inaweza kutazama TV ambayo kaya inamiliki?hii sasa ndiyo akili kubwa.... siyo zile takataka za MATAGA!
Kama akili yake ni kubwa, je Tanzania kuna asilimia ngapi ya population inaweza kutazama TV ambayo kaya inamiliki?hii sasa ndiyo akili kubwa.... siyo zile takataka za MATAGA!
isiyo na tv ikae nyumbani tu ipone.Kama akili yake ni kubwa, je Tanzania kuna asilimia ngapi ya population inaweza kutazama TV ambayo kaya inamiliki?
Inawezekana ukawa sahihi kabisa ila imani zengine zina utaratibu wake wa nani anatakiwa kutolea uamuzi katika masuala ya hiyo imani. Hivyo si kila mtu tu ana uwezo huo kwa sababu tu muumini.Soma historia ya Kanisa uone jinsi mambo mengi tena ya muhimu sana, yalivyoanzishwa na waumini wa kawaida (walei).
Na hili la kusali siku 3, limetolewa na kiongozi wa kanisa? Usinambie Magufuli ni Askofu!!
Basi maana ya 'akili kubwa' ni pana sana. Au huo ukubwa unapimwa kwa ukubwa wa 'behind'?isiyo na tv ikae nyumbani tu ipone.
hiyo akili kubwa!
Tatizo ni pale,"Akili ndogo,kuongoza akili kubwa."Chadema imesema ni wakati sasa wa Runinga ya taifa kuwatumikia Wananchi kwa kuwapa fursa ya kufuatilia Ibada mubashara wakiwa majumbani mwao.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita na Naibu waziri kivuli mh Upendo Peneza alipoongea na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Upendo amesema Waislamu wataitumia siku ya Ijumaa, Wasabato Jumamosi na Wakristo wengine Jumapili na kwamba ni wajibu wa viongozi wa TBC kukutana na viongozi wa dini ili kuweka utaratibu kwani madhehebu kwa kila dini yapo zaidi ya moja.
Upendo amesisitiza kuwa hatua hii itawafanya waumini wengi kushiriki Ibada pasipo kuhudhuria kwenye nyumba za Ibada na hivyo kuondoa msongamano.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Wasabato ni Wakristo! Busara ya Kamati inayohusika naamini haiwezi kuwaacha hao wengine. Ngoja kwanza mkakati utekelezwe halafu hayo mapungufu mengine kwenye idea hii, yatashughulikiwa wakati tayari program imeshakubalika. Subiri program ianze kwanza, idea yako naamini itashughulikiwa, ni njema sana, na Mungu akubariki
Mch Dr. G Rwakatare
Naomba kuwasilisha
Naelewa ndugu yangu ila wakati napsot sikuwa na taarifa. Post yangu ni ya jana. Inaonyesha Mungu alikuwa anampenda sana na ataendelea kumtumia sana hapa duniani hata baada ya kuwa amemchukuaHuyu si ni marehemu?
Hebu jaribu kupitia taarifa vizuri na uedit post bosi.