Chadema wataka Television ya taifa (TBC) iwe inarusha ibada mubashara siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kuepusha misongamano Ibadani

Amezingatia taratibu za ibada/ misa kwa kila zehebu wakati anatoa ushauri huo?
 
johnthebaptist,
Siku ya Jumapili watarusha ibada ya kanisa lipi hasa. Maana hawa wanaojiita wananiii wana utiriri wa makanisa kama uyoga/nzi.

Seek respect, not attention. It lasts longer
 
Soma historia ya Kanisa uone jinsi mambo mengi tena ya muhimu sana, yalivyoanzishwa na waumini wa kawaida (walei).
Na hili la kusali siku 3, limetolewa na kiongozi wa kanisa? Usinambie Magufuli ni Askofu!!
Inawezekana ukawa sahihi kabisa ila imani zengine zina utaratibu wake wa nani anatakiwa kutolea uamuzi katika masuala ya hiyo imani. Hivyo si kila mtu tu ana uwezo huo kwa sababu tu muumini.
 
Nashauri kuwe na Kipindi Maalum cha Neno la Mungu kila siku kwa njia ya Televisheni (TBC1), kwa muda wote wa kipindi hiki cha Corona

  • Kiwe kinahudumiwa na watumishi wa Mungu wa dini zote kubwa hapa nchini, Waislamu na Wakristo
  • Kama Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa hataniadhibu kwa kumpangia majukumu, napendekeza awe ndiyo coordinator wa kipindi hiki, akiziunganisha dini (na Madhehebu yake), na Serikali, yaani TBC1. Uzoefu wa pekee alioupata wakati alipowakutanisha viongozi wa dini mwaka jana ndiyo unaonifanya nitoe pendekezo hili
Watumishi wengine ninaopendekeza Mh. Mkuu wa Mkoa ashirikiane nao kwenye kamati yake kwa kuanzia ni

1. Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam (mwakilishi BAKWATA)

2. Mch. Anthony Lusekelo (mwakilishi FPCT)

3. Padre Dr. Kamugisha (mwakilishi TEC, kama yupo hapa Dar es salaam, au Padre mwingine yeyote atakayetoka TEC)

Vipindi virekodiwe na watumishi wa Mungu/ wahusika wa kutoa neno halafu vitumwe kwa njia ya mtandao TBC1, kwa sababu ya Corona

TBC1 kama wataridhia, watoe ile saa 1 ya mwanzo ya kile kipindi kipya cha ARIDHIO, ndiyo kitumike kwa ajili ya NENO la Faraja kwa wa-Tanzania, mpaka pale Corona itakapokuwa imeteketea kabisa.

Nusu saa iwe ni kwa ajili ya neno kutoka maandiko matakatifu ya Quran, na nusu saa nyingine tena iwe ni kutoka kwenye maandiko matakatifu Biblia

Kwa upande wa Wakristo, watumishi wafuatao wahamasishwe kuhakikisha kuwa wamerekodi vipindi vyoa na kuvituma TBC1

Baba Askofu Pengo, na maaskofu wengine wa majimbo yote Katoliki Tanzania nzima

Maparoko wote Tanzania

Wachungaji wote, wakiwemo wale ninaowafahamu mimi kama

Mch Dr. G Rwakatare, Mwalimu Mwakasege, Mch. Allen Mbiso (KKKT Mbezi Beach), Mchungaji Kimaro (KKKT Kijitonyama), Mchungaji Mayala (TAG Tabata Kisukulu), Mch. Mosses Maghembe (TAG Ukonga), Mch. Paul Mlokozi (TAG Ubungo), Mch Dr. Alex Malasusa (DMP) na wengine wengi

Kipindi kiwe kinaruka kila siku saa 1 mpaka saa 2, muda mzuri ambao watu wengi wanakuwa wamesharudi nyumbani kutoka maofisini.

Theme ya kipindi isiwe maombi, bali neno lolote la faraja kwa ajili ya wa-Tanzania katika kipindi hiki cha COVID-19, mpaka itakapopita. Neno lenye kuchambuliwa kwa kina na watumishi wa Mungu waliobobea

Naomba kuwasilisha
 
Chadema imesema ni wakati sasa wa Runinga ya taifa kuwatumikia Wananchi kwa kuwapa fursa ya kufuatilia Ibada mubashara wakiwa majumbani mwao.

Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita na Naibu waziri kivuli mh Upendo Peneza alipoongea na waandishi wa habari jijini Dodoma.

Upendo amesema Waislamu wataitumia siku ya Ijumaa, Wasabato Jumamosi na Wakristo wengine Jumapili na kwamba ni wajibu wa viongozi wa TBC kukutana na viongozi wa dini ili kuweka utaratibu kwani madhehebu kwa kila dini yapo zaidi ya moja.

Upendo amesisitiza kuwa hatua hii itawafanya waumini wengi kushiriki Ibada pasipo kuhudhuria kwenye nyumba za Ibada na hivyo kuondoa msongamano.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo ni pale,"Akili ndogo,kuongoza akili kubwa."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasabato, Wabudha, Wahindu wasipate airtime sio

Sent using COVID-19
Wasabato ni Wakristo! Busara ya Kamati inayohusika naamini haiwezi kuwaacha hao wengine. Ngoja kwanza mkakati utekelezwe halafu hayo mapungufu mengine kwenye idea hii, yatashughulikiwa wakati tayari program imeshakubalika. Subiri program ianze kwanza, idea yako naamini itashughulikiwa, ni njema sana, na Mungu akubariki
 
Nashauri kuwe na Kipindi Maalum cha Neno la Mungu kila siku kwa njia ya Televisheni (TBC1), kwa muda wote wa kipindi hiki cha Corona
  • Kiwe kinahudumiwa na watumishi wa Mungu wa dini zote kubwa hapa nchini, Waislamu na Wakristo
  • Kama Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa hataniadhibu kwa kumpangia majukumu, napendekeza awe ndiyo coordinator wa kipindi hiki, akiziunganisha dini (na Madhehebu yake), na Serikali, yaani TBC1. Uzoefu wa pekee alioupata wakati alipowakutanisha viongozi wa dini mwaka jana ndiyo unaonifanya nitoe pendekezo hili
Watumishi wengine ninaopendekeza Mh. Mkuu wa Mkoa ashirikiane nao kwenye kamati yake kwa kuanzia ni

1. Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam (mwakilishi BAKWATA)

2. Mch. Anthony Lusekelo (mwakilishi FPCT)

3. Padre Dr. Kamugisha (mwakilishi TEC, kama yupo hapa Dar es salaam, au Padre mwingine yeyote atakayetoka TEC)

Vipindi virekodiwe na watumishi wa Mungu/ wahusika wa kutoa neno halafu vitumwe kwa njia ya mtandao TBC1, kwa sababu ya Corona

TBC1 kama wataridhia, watoe ile saa 1 ya mwanzo ya kile kipindi kipya cha ARIDHIO, ndiyo kitumike kwa ajili ya NENO la Faraja kwa wa-Tanzania, mpaka pale Corona itakapokuwa imeteketea kabisa.

Nusu saa iwe ni kwa ajili ya neno kutoka maandiko matakatifu ya Quran, na nusu saa nyingine tena iwe ni kutoka kwenye maandiko matakatifu Biblia

Kwa upande wa Wakristo, watumishi wafuatao wahamasishwe kuhakikisha kuwa wamerekodi vipindi vyoa na kuvituma TBC1

Baba Askofu Pengo, na maaskofu wengine wa majimbo yote Katoliki Tanzania nzima

Maparoko wote Tanzania

Wachungaji wote, wakiwemo wale ninaowafahamu mimi kama

Mch Dr. G Rwakatare, Mwalimu Mwakasege, Mch. Allen Mbiso (KKKT Mbezi Beach), Mchungaji Kimaro (KKKT Kijitonyama), Mchungaji Mayala (TAG Tabata Kisukulu), Mch. Mosses Maghembe (TAG Ukonga), Mch. Paul Mlokozi (TAG Ubungo), Mch Dr. Alex Malasusa (DMP) na wengine wengi

Kipindi kiwe kinaruka kila siku saa 1 mpaka saa 2, muda mzuri ambao watu wengi wanakuwa wamesharudi nyumbani kutoka maofisini.

Theme ya kipindi isiwe maombi, bali neno lolote la faraja kwa ajili ya wa-Tanzania katika kipindi hiki cha COVID-19, mpaka itakapopita. Neno lenye kuchambuliwa kwa kina na watumishi wa Mungu waliobobea

Naomba kuwasilisha
 
Huyu si ni marehemu?

Hebu jaribu kupitia taarifa vizuri na uedit post bosi.
Naelewa ndugu yangu ila wakati napsot sikuwa na taarifa. Post yangu ni ya jana. Inaonyesha Mungu alikuwa anampenda sana na ataendelea kumtumia sana hapa duniani hata baada ya kuwa amemchukua
 
Back
Top Bottom