PreGE2025 CHADEMA warudisheni wabunge 19 mjenge Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
853
Reaction score
1,147
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo

1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.

2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.

3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka

4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee

5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida

6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
 
Soma Tanzania Penal Code[CAP1 16] Section 301 na 302.Ukishasoma uje utufafanulie tena je hicho kitendo walichofanya hao COVID 19 ni halali kwa sheria za Tanzania?
 
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo

1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.

2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.

3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka

4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee

5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida

6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
Vile vile Soma Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 66(1)(a) na (b) ili tuelewe kuwa hizi sheria au Katiba zipo kwa ajili ya nini?
 
Halafu naomba unifafanulie uzito wa Ibara ya 30(1) na (2) ulimaanisha nini kwa Jumuiya ya Watanzania kupitia Katiba yetu ya Jamhuri ya MUUNGANO WA TANZANIA YA 1977?
 
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo

1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na kutimiza majukumu ya kibunge.

2.kwenye siasa ni namna ya kucheza draft hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu.

3. waliondoka katika mazingira ya uongozi wa zamani uongozi wa chadema umebadilika na maono mapya. ni kipindi cha kujenga upya chama kwa kuwarejesha pia walikengeuka

4. Mara kadhaa wamekitetea chama bungeni rejeeni kauli za Bulaya na Mdee

5. So far hata wakirudi watabaki kuwa wanachama wa kawaida uchaguzi umekwisha kwenye maeneo yote. Hawana maamuzi ya kiuongozi hivyo watapimwa upya wakiwa wanachama wa kawaida

6. Naamini bado wana damu ya ki-chadema na wamekitumikia muda mrefu. Wapewe nafasi ya kuomba radhi kwa yaliyotokea na kisha washiriki kwenye ujenzi wa chama. Mabadiliko ya uongozi ndani ya Chadema kwa sasa yatumike kurejesha wote waliokikimbia chama kwa sababu mbalimbali. Hii ni siasa na siasa ni sayansi.
Na je ili uwe Mtanzania halali ni lazima uwe mwanachama wa CCM?(Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara 3(1),8(1)a-d,12 na 13(1),(2),(4),(5).
 
Hatuwarudishi wanachama wapo wengi sio nyie tu
Chadema muwe waangalifu na hao wanaotaka kurudi chamani wengi wao wakiwemo wakina Mdee na kundi lake ni hatari kwa ustawi wa chama kwani wote ni mapandikizi ya ccm!! Akiwemo huyo mzee anaitwa Shibuda!!
Ni lazima kuwachuja vizuri ; ccm inawapigia debe covid 19 muwarudishe ili waje kuhujumu chama!! Chonde chonde msiingie kwenye mtego wa ccm.
 
Back
Top Bottom