Chadema wapi Halima Mdee?

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,282
1,195
Ehhee, hii sasa ni issue. Ebu nipe nyeti zaidi za huyu bwana, ningependa kujua zaidi. Sikujua kuwa kumbe hata degree hakumaliza, basi bongo tuna kazi. Inakuwaje watu matapeli wanapenya kwenye sehemu nyeti katika taifa letu?
Kitila unataka kugombea Singida? naona unaanza kukusanya nondos haya mkuu kila la kheri...
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,672
2,000
lazaro ..kuna kipindi alirudi bongo akawa anazuga kumdaka miss tanzania mmoja wa miaka ya karibuni ..mwenye asili wa singida ambaye baba yake alikuwa bregadier...sijui alikuwa mzugaji au muoaji!!!

kati kati ya mwaka huu alirudi na wamarekani fulani,nadhani anasoma nao ...wakatembelea nao jimbo lake..

ni kati ya wabunge vijana ..ila hilo la kuwa hakumaliza first degree kwenye faili langu halimo...
 

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,295
1,250
..umenikumbusha wewe,huyu tapeli aliyetapeli watu Iowa na wa kujipendekeza kwa mama mkapa yuko wapi siku hizi? na anakula nondo gani hizo za masters maana hata degree ya kwanza alikuwa hajamaliza maana nasikia anasema ana degree,hii sampuli ndio viongozi wa bongo yaani kanyaboya tupu,mungu atusaidie tuu.
Huyu dogo ni tapeli wa kimataifa, mwaka 1990 alimaliza Form Four Kibaha na Div 3 chovu alibangaiza na kwenda high school Illboru nako alifanya vibaya, kwa kutumia mashirika ya kitapeli ya dini, alizuga IOWA state 1994, kabla ya uchaguzi 2005 alirudi bongo na kujipenyeza kwa mama Mkapa, hadi kugombea ubunge. Dogo yule ni kanyaboya haswaaa, ninauhakika hiyo Bachelor za Bussines Administration hana, kama sasa anafanya masters ni nikicheko kwangu labda kama zile degree za akina Kamala, Nchimbi, Mary Nagu, Matayo David oooh list ni ndefu mno... kuna na yule Mbunge Buchosa, Samwel Chitalilo naye ni Kanya boya la nguvu jamaa hata form four hajawahi gusa lakini anavyeti vya kidato cha sita, uchaguzi ujao wananchi wa Buchosa atawaambia ana PhD sasa kwenye mambo ya ovyo ovyo, Jamaa ni darasa la saba uwiiiiiiiiii !!!!wananchi watamrudisha bungeni tena...teh teh teh Tanzania bwana unaweza fanya chochote mradi unatetea CCM....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom