GE2025 CHADEMA waomba kuonana na jaji ''Kama hawataki, sisi tunawaacha wao wabaki na hiyo kesi''

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA.

Licha ya kukataliwa huko John Heche amesema kama hawataki tuonane na jaji basi tutawaacha wao wabaki na hiyo kesi.

Soma pia: Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

View attachment 3468211
Niliwaambia chadema moja ya njia ni kususia kesi isikilizwe upande mmoja wakanipuuza....Mahakama imepokea maelekezo kutoka kwa samia na Rostam Aziz
 
Back
Top Bottom