PreGE2025 CHADEMA wangewashawishi vyama vingine pia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Habari wakuu...

Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms.......

Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Kuliko sasa hivi imebaki ni mission ya Chadema ambapo it means Chadema ndio 'stubborn ' wasiotaka peace.

Hii inawaweka vulnerable Chadema kuwa attacked na serikali ya CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Imagine ingekuwa ni agenda ya vyama vyote vya upinzani wangemkamata nani? Huoni serikali ingekuwa confused? Na hata hizo International communities mnazotaka zi act on no reforms no election zita act kama kuna uzito unaotokana na muunganiko wa upinzani mfano viongozi wote wa upinzani wamekamatwa na serikali ya CCM hapo ndio mta draw attention kutoka jumuia za kimataifa. Kuliko sasa hivi mmemuachia Lissu na Chadema yake hizo jumuia za kimataifa zitaona hamna CONSISTENCY kama vyama vingine vya upinzani vinashiriki uchaguzi kasoro Chadema.

Mawazo yangu, what do you think?

Becky.
 
Watanzania ni wanafiki, ukimsikia anasema "tuko pamoja" achana nae ni mnafiki atakuchoma huyo.
 
Yule mzee wa maubwabwa na CHAUMA yake. Mzee Momose Cheyo na UDP yake. Hawa ni CCM pyua. Na wengine wengi. TLP na NCCR Mageuzi walishasema hawatakaa wafanye tena upuuzi huo maana wakati wa UKAWA na kabla ya hapo waliahidiwa sijui vitu gani na CHADEMA (kuachiana majimbo na kusaidiana kupiga kampeni); lakini hawakuambulia kitu.

Kama CHADEMA tu walikubali kugeuza gia angani Lowassa alipowaibukia na mabilioni yake, wakasahau kuwa wenyewe ndiyo walikuwa wamemchafua mzee wa watu beyond repair; unafikiri ni mpinzani gani atakayekataa mabilioni ya CCM ili tu ashiriki uchaguzi? Vyama hivi vya upinzani ni miradi ya watu binafsi na haviko pale kutekeleza kile kilichomo katika katiba na irani zake.

Kuungana kususia uchaguzi kwa wapinzani hawa haiwezekani! 📌📌📌📌
 
Sikujua Chadema inafanya kazi kwenye mazingira magumu hivi....kuwa chama kimoja cha upinzani katika mlolongo wa vyama vya kiserikali ni mazingira magumu kwa kweli....do you think they will succeed na mission yao ya No reforms No election ALONE??? Binafsi naona itakua ngumu kunavigate bila support ya upinzani na upinzani wenyewe ndio huo ni serikali in disguise...this pose a challenge kwq kweli.....
 
tatizo kubwa ni kuwa CHADEMA ni wabinafsi sana, na ndio mana always linaokuj suala la kushirikiana na wengine linakua ni jambo gumu sana.
Na pia kuna vyama vingi zaidi ya 70% ni matawi ya CCM. hivyo hapawezi kuwa na mashirikiano yoyote.
 
Rebecca unafurahisha ila Mawazo yako yaheshimiwe.

Vyama vingine ni vidogo Sana. Hii kwao ni Fursa ya kupiga pesa. Hawawezi kukubaliana na hao CHADEMA
 
Shida kubwa viongozi wengi wa vyama vya upinzani wanatumika Kwa maslahi ya CCM, wanahongeka kirahisi na kufifisha juhudi za upinzani, ni Lissu na Heche tu ndiyo wenye Nia ya kweli ya kuleta mabadiliko ya mifumo miovu iliyopo katika chaguzi na uongozi wa nchi zetu
 
Habari wakuu...

Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms.......

Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Kuliko sasa hivi imebaki ni mission ya Chadema ambapo it means Chadema ndio 'stubborn ' wasiotaka peace.

Hii inawaweka vulnerable Chadema kuwa attacked na serikali ya CCM.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Imagine ingekuwa ni agenda ya vyama vyote vya upinzani wangemkamata nani? Huoni serikali ingekuwa confused? Na hata hizo International communities mnazotaka zi act on no reforms no election zita act kama kuna uzito unaotokana na muunganiko wa upinzani mfano viongozi wote wa upinzani wamekamatwa na serikali ya CCM hapo ndio mta draw attention kutoka jumuia za kimataifa. Kuliko sasa hivi mmemuachia Lissu na Chadema yake hizo jumuia za kimataifa zitaona hamna CONSISTENCY kama vyama vingine vya upinzani vinashiriki uchaguzi kasoro Chadema.

Mawazo yangu, what do you think?

Becky.
Chadema haitokuwa na muda wa kushawishi vyama vingine vya upinzani viunge mkono hoja ambayo kwao siyo kipaumbele,chama kama Cuf na NLD utawaambia waunge mkono no reform no election watakukuelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom