Wew hujui kitu ukiachilia tabora sehemu nyingine ambayo ACT itakuwa na ngome kubwa ni huko mtwara
kwani chadema wanahatimiliki ya upinzani wa TanzaniaKwa hiyo ACT mnavunja ngome za Chadema kwa hotuba "safi" za kiongozi wenu mkuu na sio ngome za CCM? Kweli nyie mahayawani wakubwa na bado mnajiita chama cha upinzani.
Huo ni upinzani gani kwa wapinzani na sio watawala? Majitu makubwa na akili za kushikiwa ni shida sana.
kwani chadema wanahatimiliki ya upinzani wa Tanzania
Zitto atazomewa tena sana asilimia 85 ya maeneo aliyopita kazomewa ,mbeya wametoa vielelezo aangalie anasema nini majukwaani TISS hawambebiAsante Mzalendo kwa taarifa safi. Jana watu wenye hekima zao baada ya kusikia uhuni huu wameamua kuachana na cdm.
SUGU ameshindwa kumuongoza mke, mpaka wanapelekana mahakamani ataweza kuongoza MBEYA MJINI?
zitto lazima ajipakize mbavuni mwa chadema ili aweze kuonekana ,atazomewa sana na kuna siku atavuliwa nguo mchana kweupe kwa usaliti wake,mbeya walichukuwa mfano wa mwili wake wakamfunga ndani ya sanduku na sanda nyeusi kulinganisha na shetani leo mbeya wa weweseke unatania wewe ajiulize kama usaliti unalipa mbona akiwa chadema alikuwa anabebwa
Jibu swali, kwa hiyo malengo ya kuanzisha ACT kama chama cha "upinzani" yalikuwa kuvunja ngome za Chadema na kuipa nguvu CCM?kwani chadema wanahatimiliki ya upinzani wa Tanzania
Kwa hiyo Dkt mangungu unataka kusema kuwa chama Tawala CCM hivi sasa hofu yake iko kwa ACT maana hao wengine ni wa maonyesho? Unataka watu wenye akili waelewe hivyo?CHADEMA wamebaki wanafanya siasa za maonyesho na chuki
CHADEMA wamebaki wanafanya siasa za maonyesho na chuki
Weka video kuwa hakuzomewa , wenzako waliweka video ikionyesha zomeazomea ........
Mwanasiasa mjinga pekee anaeogopa kuzomewa Zitto alikuwa pale na amezomewa akubali kuzomewa hata kama aliishia ndani ya gari.
asante mzalendo kwa taarifa safi. Jana watu wenye hekima zao baada ya kusikia uhuni huu wameamua kuachana na cdm.
Froida
acha matusi video ipo wazi kabisa zitto hana hata hadhi ya kuogopwa na wana mbeya kwanza sio jadi yao kuogopa mtu zitto ni irrelevant atazomewa sana ni majibu na faida za mtu msaliti mtu asiyejua kufikiri anayeendeshwa kama robot mtu anaye hang kama zitto mbeya atazomewa tu kama alivyozomewa geita kigoma makambako na shinyanga