Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 2,001
- 2,329
Yaani wabunge mia nne na familia zao na madreva makatibu wao, wakuu wa mikoa na wilaya waliozindua chanjo pamoja na familia zao wangechanjwa zingeishia laki tatu?Ukichanjwa wewe inatosha bwashee, mbona unateseka?
Anzeni nyie kumtii m/kiti wenu kwa kuchanja si mna wanachama wengi, imekuwaje chanjo mnalazimisha mtoto wa kambo akachanjwe?Ndugu wanajamvi..kwa mjibu wa uachaguzi wa 2020..mashabiki wa Chadema ni million5 na zaidi..na kwa mjibu wa viongozi wa Chadema walisema chanjo ni muhimu na ni lazima kila mtu kulazimishwa kuchanjwa kitu amabcho ni kizuri.Swali..nikwanini hadi sasa waliochanjwa ni laki 3.50 wakati kama chadema kwa umoja wao wangejitokeza kwenda kuchanywa ingeonyesha kiwa hii chanjo ni bora sana..Kwa sbab wananch wa kawaida hawachanji kwa sbb hawaiamni CCM hivyo nilitarajia CHadema ikaanzishq makongamano ya kuhamasisha wanachama na wapenzi wao kuchanja hapo tungeuona umaja ulw wa kutaka maandamano na mambo ya katiba yanaleta mawndeleo zaidi.So kwanini makongamano hayawatumii mashabiki kwenda kuchanja?
Kuandika kwenyewe hujui sijui unakimbilia wapi ?!.Kama chadema kuonhesha umoja wetu ule,,tunatakaiwa kwwnda kinyume cha Maccm..kwa kuwa yao yanasigana sisi tungeenda kwa makundi kuchanjwa harafu tukimaliza tunapiga na kongamano la katiba..Harafu baadaye tungeyazomea maccm yote kwa kushindwa kutekelez ahadi za kuchanja licha ya serikali yao kuhamasisha..ni suala la ujanja..inahwa nashangaa hadi sasa hatufanyi..inhawa mie nimeishachanja mapema
Bro sisi tumewazidi CHADEMA. Tungekuwa mfano.Ndugu wanajamvi..kwa mjibu wa uachaguzi wa 2020..mashabiki wa Chadema ni million5 na zaidi..na kwa mjibu wa viongozi wa Chadema walisema chanjo ni muhimu na ni lazima kila mtu kulazimishwa kuchanjwa kitu amabcho ni kizuri.Swali..nikwanini hadi sasa waliochanjwa ni laki 3.50 wakati kama chadema kwa umoja wao wangejitokeza kwenda kuchanywa ingeonyesha kiwa hii chanjo ni bora sana..Kwa sbab wananch wa kawaida hawachanji kwa sbb hawaiamni CCM hivyo nilitarajia CHadema ikaanzishq makongamano ya kuhamasisha wanachama na wapenzi wao kuchanja hapo tungeuona umaja ulw wa kutaka maandamano na mambo ya katiba yanaleta mawndeleo zaidi.So kwanini makongamano hayawatumii mashabiki kwenda kuchanja?
Mwenyekiti wenu gaidi alisema chanjo iwe lazima, hivyo tulitegemea makamanda mngeenda wote kuchanjaKuandika kwenyewe hujui sijui unakimbilia wapi ?!.
Ni wapi Cdm waliagiza chanjo ?!. Siyo yule alieunda kamati ya wataalamu kumshauri ?!. Huyo huyo akaja kusema ni hiyari !!.
Kwa jumla serikali imejifelisha yenyewe. Mwaka Jana nzima wamemaliza wakiipiga chanjo vita. Tena namba moja mwenyewe. Leo tena ni hao hao wanapita na kusema inafaa tena wale wale !! Lazima wakose wachanjwaji. Ila kama uko over 50 huna cha kupoteza nenda kachanje
Lakini mwenyekiti wenu alipendekeza chanjo iwe lazima, kwa hiyo mnamsaliti mwenyekiti [emoji3][emoji3]CCM mna matatizo ya akili, nyinyi kwenye maswala ya kwenu kama Chanjo ya Covid mnataka iwe muhimu na lazima. Ila ya wenzenu kama Katiba Mpya mnaona sio muhimu.
Kweli nyani haoni kundule.