CHADEMA wanatengeneza shahada feki-Uvccm Arusha

CHADEMA wanatengeneza shahada feki-Uvccm Arusha

Joined
Feb 26, 2013
Posts
30
Reaction score
47
Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya Arusha mjini amemtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Ephata Nanyaro kuwa anatengeneza shahadafe kiza kupigia kura,ameyasema hayo kweneye mikutano mbalimbaliya hadhara kwenye kata ya Sombetini.

Baada ya maneno haya wananchi wengi wameonyesha kuinga mkono CHADEMA kuwa ndio wanafaa kuongoza nchi.

Kiukweli CCM wamezidiwa Sombetini.
 
Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya Arusha mjini amemtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Ephata Nanyaro kuwa anatengeneza shahadafekiza kupigia kura,ameyasema hayo kweneye mikutano mbalimbaliya hadhara kwenye kata ya Sombetini
Baada ya maneno haya wananchi wengi wameonyesha kuinga mkono CHADEMA kuwa ndio wanafaa kuongoza nchi.Kiukweli ccm wamezidiwa Sombetini,

assumption zingine bwana???,
 
uvccm hawana akili kabisa..ukitazama mwenyekiti wao sadifa kalegea kama mlenda na akili zao ziko hivo..sasa wa fodge shahafa ili iweje...mxxx
 
Mwenyekiti wa Uvccm anasema hayo kwa sababu ndio kazi walizozowea wizi na utapeli kila kitu miaka yote
 
Ccm acheni kelele leo chadema wanashaada feki kwa nini mnang'ang'ania arusha kubalini hapo hamna chenu sasa ona mnalia kama watoto
 
Wameanza kuwa wapinzani kabla hatujachukua dola
 
Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya Arusha mjini amemtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Ephata Nanyaro kuwa anatengeneza shahadafe kiza kupigia kura,ameyasema hayo kweneye mikutano mbalimbaliya hadhara kwenye kata ya Sombetini.

Baada ya maneno haya wananchi wengi wameonyesha kuinga mkono CHADEMA kuwa ndio wanafaa kuongoza nchi.

Kiukweli CCM wamezidiwa Sombetini.

CCM wapo hoi taabani, wao wanamiliki serikali halafu wanalalamika kama chadema!!!
 
Mwenyekiti wa uvccm wilaya ya Arusha mjini amemtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Ephata Nanyaro kuwa anatengeneza shahadafe kiza kupigia kura,ameyasema hayo kweneye mikutano mbalimbaliya hadhara kwenye kata ya Sombetini.

Baada ya maneno haya wananchi wengi wameonyesha kuinga mkono CHADEMA kuwa ndio wanafaa kuongoza nchi.

Kiukweli CCM wamezidiwa Sombetini.

Tit for Tat hiyo usiogope; Ni hatua sahihi kwa CDM kutengeneza shahada "Fake" ili kukabiliana na CCM wanaonunua shahada Originale. au vipi!
 
Ni Mapema sana kwa CCM wa Arusha kuanza kusikilizia maumivu ya 1:0 siku ya Juma pili, kuweni wapole Ccm na hamta amini hata kwenye kata nyingine ambazo ni zenu mikoani, halafu mkuja kufa kwa Bp huko Jimbo la kalenga tarehe 16 March.
 
Hiki ni kichekesho cha karne. Polisi, wao, Tume, yao, Serikali, yao, yaani wamebaki kulalamika kwa story za vijiweni! Kweli CCM sasa wamesha-qualify kuwa Wapinzani.
 
wamekoma,wamezoea kununua kadi za kupigia kura safari hii wamenunua kadi feki wameanza kulialia
 
Back
Top Bottom