Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,888
- 26,605
Mungu hapendi washari kama akina Mbowe. Na laana hii itawatafuna hadi mwisho wa Dunia.Hahahaha mnatia kinyaa sana nyie watu, lakini Mungu yupo na hadhihaikiwi. Hachelewi wala hawahi yeye hufanya kwa wakati wake.
Mbowe ndio alifyatua risasi?Mbowe aliyesababisha Aquiline kupoteza maisha kwa sasa anatanua na kutumbua ruzuku ya chama.
Ni ngumu kuamini huu upuuzi umeandikwa na mtu au wale samaki aina ya "Changudoa"!Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Ndiye aliyeratibu maandamano yasiyo na kibali. Hamuwezi kukwepa kwa hili. Mtajibaraguza tu lakini mwisho wa siku hamna pa kutokea.Mbowe ndio alifyatua risasi?
Kwan mawakala wa chadema wangepewa hati za viapo mapema kama walivyopewa wa ccm maandamano yangetokea wapi?Ndiye aliyeratibu maandamano yasiyo na kibali. Hamuwezi kukwepa kwa hili. Mtajibaraguza tu lakini mwisho wa siku hamna pa kutokea.
Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Hakuna cha viapo wala nini. Mbowe hawezi kukimbia kwa hili.Kwan mawakala wa chadema wangepewa hati za viapo mapema kama walivyopewa wa ccm maandamano yangetokea wapi?
Umeshindwa kujibu hoja, usiseme wananchi wamewachoka sema ccm ndio haiwataki, ingekua wananchi wamewachoka wasingeunagana nao kwenye maandamanoHakuna cha viapo wala nini. Mbowe hawezi kukimbia kwa hili.
Kwa hiyo unawaringishia,umenufaika nini uchaguzi huu hata ishinde chadema au ccm wewe raia unapata nini huku uchaguzi umegharimu bilions of money huku barabara mbovu wakidai hakuna pesa leo unafurahia mwansume mwenzio kuenda kula mihela ya bure.Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
Endelea kujifariji. Sina tatizo na hilo.Umeshindwa kujibu hoja, usiseme wananchi wamewachoka sema ccm ndio haiwataki, ingekua wananchi wamewachoka wasingeunagana nao kwenye maandamano
Kwenye account yako imeongezeka tsh.ngapi kwa kushinda mwalimu au mtulia !?Afadhali wewe umesema.
Na wewe umeongeza tsh. ngapi kwa kushinda hapa JF?Kwenye account yako imeongezeka tsh.ngapi kwa kushinda mwalimu au mtulia !?
I like this lakini umenishangaza kidogo.walikosea sana kimsafisha mtu waliye mtuhumu kwa tuhuma lukuki kuwa mgombea.urais na hapo ndio mistake kubwa ilipo fanyika
Walipa kura hizo kwasababu ya lowasa cha ajabu lowasa mwenyewe anampongeza magufuri na serikali yake .Hivi 2015 ambapo ndio cahdema ilizoa wabunge wengi na kura milion 6 ukiacha zilizoibiwa Slaa alikuwepo?
CCM haipendwi kamweHatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47
CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni
CCM inapendwa kwa sera sio mtu
like father slaa and profisi lipum!!!! sicAnyone who counts on whining as a political strategy puts himself or herself on an election losing streak.
CDM needs a clean slate; current egocentric leaders must be replaced with more effective leaders to regain the party’s lost ground!