PostGE2025 CHADEMA wanakwamisha maridhiano

PostGE2025 CHADEMA wanakwamisha maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Gentleman,
hakuna haja ya porojo za kutafuta kiki na public sympathy useless jukwaani.

maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika regardless ya mbambamba yoyote ya asiekua tayari, na maridhiano hayo ya msingi yanalenga tu kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si kwaajili ya porojo zingine nonsense 🐒
 
Jamaa huwa anasumbuliwa na wingu.
Wingu likitoka huwa kinapanda wingu likiondoka anakaa sawa.

Uchaguzi umefanyika pasipo CHADEMA
Kwanini maridhiano yasifanyike bila CHADEMA?

RIP Mwalimu Jk Nyerere.
 
Mbona mnalalamika wakati juzi Jini samia alikutana na tu vyama vyake vya mfukoni wkakukablina watafanya maridhiano...?? Mkasema CDM wakisusa wengine wala...imekuaje tena mnawataja Chadema
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu

Una deal na mambo mazito ya chadema na hata kuandika hujui?

Unashindwa hata kuweka space, hata paragraph? Unakimbilia wapi?

Maandishi yako yamebanana kama nyenyere wanakula mzoga
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano
Kwani hayo maridhiano ambayo hakuna nanayeyafahamu , tunaridhia kuhusu nini..yanashindwa kufanyika bila Chadema.. Mala.ya la Tunguu Zenji juzi lilikutana na Tu Vyama Vyake vya mfuko wakajadiliana kuhusu maridhiano.. Sasa leo Chadema imeingiaje tena...

Hakuna Maridhianobila haki na uwajibikaji wa mauaji ya kutisha ya Oct 29
 
We Mzee kijana, Mtoto wa Baba wa Taifa, vipi mbona unajizima data kihivyo? Ni lini na wapi hao Chadema walisema hawataki mazungumzo ya Amani?
Wao wanataka referee neutral wa mazungumzo au maridhiano hayo. Hilo mbona hujaliongea?

Referee neutral- mazungumzo yaanze…

Je ccm wanamtaka au hawamtaki?
Halafu ni maridhiano kuhusu nini..?? Ya nini..? Kwanini turidhiane..??
 
Mkuu Burita, britanicca, kwa mujibu wa sheria zetu, hili ni kosa la name calling!.
Mtu akijiita Popi Hatoni Poppy Hatonn, hata kama unamjua who he is real is, huruhusiwi kumtaja kwa jina lake halisi!, hapa jf tutaendelea kumuita Popi Hatoni!

Kwani maridhiano ni mpaka Chadema?, mbona walisusia uchaguzi na uchaguzi ukafanyika na CCM ikapata ushindi wa kishindo cha asilimia 98% na vile vyama shikizi vyote vilikubali na kupongeza ushindi huo, sasa maridhiano ya nini. Chadema hawajatoa visingizio, wako very genuine and determined hakuna kuzungumza na yeyote bila Mwenyekiti wao kuwepo!.

Hayo mazungumzo ni ya kupata katiba mpya au kurekebisha hii katiba iliyopo?

Inakwamisha kivipi?, kwani mazungumzo hayawezi kuendelea bila Chadema?.

Chadema hawajasema hawataki mazungumzo ya amani, wanataka Mwenyekiti wao awepo ndie aongoze mazungumzo kwa upande wao

Wanashindwa nini kwa Lissu?

P
Umeongea ukweli mtupu kabisa kaka mkubwa.
 
Gentleman,
hakuna haja ya porojo za kutafuta kiki na public sympathy useless jukwaani.

maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yatafanyika regardless ya mbambamba yoyote ya asiekua tayari, na maridhiano hayo ya msingi yanalenga tu kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya na si kwaajili ya porojo zingine nonsense 🐒
Ni vyema nyie Machawa Baada ya mi.ku.ndu yenu kuchakazwa na kina abdul na kupewa vijisenti muwe mnaelimishana ili mnapokuja hapa jukwani muwe mnalugha moja...sawa gentleman

NB: Hakuna Chawa ambaye si shoga.
 
ukweli mtupu ukielezwa wazi hakuna haja ya kutukana na kuporomosha matusi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Karidhiane ww na mama Yako chadema wako kimya ww mk**undu unakuwasha nenda ww na mama yako
 
CHADEMA washikilie hapo hapo hakuna kuridhiana na watesi na wauaji
twende kimyakimya hivi hivi mpaka 2030 tukiwashe tena ili tuheshimiane zaidi

Serikali ni watu (wananchi) sasa kama wanatekwa wanafilimbwa na kuuwawa hatuwezi kukaa meza moja kuridhiana..

Halafu faza wee ni
 
Watanzania tusiwe wanafiki.Hivi hakuna asiyejua kwamba cdm ndicho chama kilichojeruhiwa sana kisaikolojia na kimwili?kiongozi wao hata baada ya kushinda kesi amehukumiwa kwenda jela,wanachama wao wanakesi za uhaini,wengine hawajulikani walioko baada kuchukuliwa na wasiojulikana,wengine kuuwawa,mbali na idadi kubwa kuenguliwa ktk baadhi ya chaguzi.Sasa cdm baada ya matukio haya wanasema watashiriki ikiwa kiongozi wao na wanachama wengine wataachiwa huru.chombo kitakacho simama kati kusuluhisha kiwe huru na ukweli utakapopatikana uajibikaji uchukue mkondo wake.Sasa chadema wanakwamisha wapi.Je hoja zao ni za uongo?si Kila mtu anayeishi nchini ameyaona na kusikia?
 
Maridhiano mtuhumiwa ndio mwenyekiti wa kikao cha maridhiano na anaongea na kumsikiliza yeye tu.
 
Back
Top Bottom