CHADEMA wanakaribia kukamata Dola-Balozi Lusinde

Hongera Lusinde kwa kusema ukweli.
 
Nguli wengine ndani ya magamba kama akina Warioba, SAS, Kaduma, Mwinyi, Msuya na wengineo ambao wanaitakia mema nchi yetu waachane na ukimya wao sasa waige mfano wa Lusinde kuikemea hii Serikali dhalimu ambayo inaendesha mauaji ya Watanzania wasiokuwa na hatia yoyote ile kabla nchi haijakumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Tukumbuke mdharau mwiba.....
 
Wapuuzi hawa.Alikuwa wapi siku zote hizo watanzania wakiteseka.Ameona maji yako shingoni,they are about to face the music, anajaribu kujisafisha.No way,once CDM is in power viongozi wote wa CCM wenye tuhuma must face the wrath of the law.
Mzee Lusinde amejivua koti la propaganda na kuongea ukweli wa moyo wake,big up mzee,M4C inasonga mbele
 

Sawa kabisa CCM wamekwisha
 
Huyu Lusinde si ndiye juzi alikuwa anasema chadema bado, leo ndo ameongea hayo???? Au hiyo source yako mkuu Molemo imeongeza munyu?

hata mimi nilimuona katika TV akisema CDM haina uwezo wa kuchukua dola. we haya maneno umeyatoa wapi? source tafadhali
 
Mkuu hiyo mbona ipo wazi wala siyo tetesi wana story ni ukweli hata yeye na wanapga kura wake wanajua kudadadadadaadeki si mtoto wa mzee Lusinde. kalelewa na huyu mzee, anyway ni mtoto wa ku-adopt tu.
 
Huyu Lusinde si ndiye juzi alikuwa anasema chadema bado, leo ndo ameongea hayo???? Au hiyo source yako mkuu Molemo imeongeza munyu?
Nadhani unafikiri wanachama wote wa CCM ni static, wapo ambao ni dynamic, it depends na circumstances.
 

duu,hapa umemaliza mkuu,asipoelewa tena hapa basi tena,ni case nyingine labda mirembe inamuhusu
 

Putuuuuuu hilo gazeti siku hizi hata halisomwi na watu....
 
Cdm muache udini na ukaskazini

Pole mkuu, nyie Chama Cha Mauaji ndivyo mnavyofikiri lakini wale wananchi maskini mliowahadhaa kwa miaka zaidi ya 35 (toka 1977) hasa kwa awamu ya nne basi hawaelwei udini wala ukaskazini!!! Hivi wabunge walioko CDM bungeni ni wangapi wanatoka Kaskazini? Sasa subiri 2015 ndiyo mtajua kama kuna udini, ukabila, ukaskazini, na umbinguni!!
 
Mkuu hiyo mbona ipo wazi wala siyo tetesi wana story ni ukweli hata yeye na wanapga kura wake wanajua kudadadadadaadeki si mtoto wa mzee Lusinde. kalelewa na huyu mzee, anyway ni mtoto wa ku-adopt tu.

Dadeki kumbe haramu hilo lilizaliwa likakosa huduma kwa biological parents!!! Nimegundua hana malezi ya wazazi wake ndo maana kichwani ni upepo unafuka tu. Si wakuu unajua mtoto wa ku-adopt kidogo huwezi kumkemea sana maana unaogopa usije vuka mipaka iwe tena issue. Kibaraka Lusinde na matusi yale kumbe huna ukoo umebobea wa watu. Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh wewe. Kinywa uozo wa matusi, kiwanda cha matusi kubwa zima!!
 
hilo wanalijua ccm mpaka sasa wameanza kuhaha kutumia jeshi la polisi kuua wananchi wasio nahatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…