Mbowe mtu wa ajabu, eti wakionewa na kupigwa na polisi ili kuikomesha ccm ni kususia uchaguzi, nimecheka sana, afu eti anasema anaomba tume iandae uchaguzi mpya..[emoji24]Chadema ilipoangukia ni pale ilipo changanya maji na mafuta na zaidi kibaki kuwa chama cha ruzuku na ndugu zake mbowe hapo hakitanyanyuka tena
Kazi yake ni kuigaiga tu hapo ana muiga odinga [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeye alidhani chama niyeye kumbe watu wanafuata agendaMbowe mtu wa ajabu, eti wakionewa na kupigwa na polisi ili kuikomesha ccm ni kususia uchaguzi, nimecheka sana, afu eti anasema anaomba tume iandae uchaguzi mpya..[emoji24]
Wewe endelea kubaki na mawazo haya ya kitoto, duniani kote wanatumia sana ujanja kwenye siasa hasa fursa ya kufanya ujanja inapokuwepo. Siku mkija kustuka kuwa Chadema mnatakiwa kubadilika na kuja na mbinu ya kuchukua na kushnikiza kutangazwa ushindi wenu basi na wanachama wenu watakuwa tayari wameshawachoka. Chadema kikitaka kufanikiwa kisiasa ni lazima kiondoe uongozi wa wazee hawa akina Mbowe, Lowasa, Sumaye na wengine kwani wapo pale sio kufanya siasa za ushindi bali wapo pale kwa kutumia siasa kufanya biashara na kulinda Mali zaoSwala hapa sio nani ashide! Swala ni Demokrasia idumishwe na Anayeshinda iwe ameshida kihalali ! Ila wewe unaonekana unashabikia as if ni simba na Yanga! Ok Let say Kunabakia Wabunge 2 wa Upinzani 2020 Faida Utakayopata kama Mwananchi ni nini? Itakuwa ni Majanga zaidi hata kwa CCM kwenyewe! Kukiondolewa kushinda Uchaguzi kwa Hila! Anayeshinda atakaa akijua asipofanya aliyotumwa na Wananchi next election watamtosa! Na hii inampa mwananchi nguvu na Ni Faida kwa Taifa zima. Anayejua atashinda kwa wizi,
Atanunua Ndege bila Budget
Atawavunjia nyumba na kuponda ponda sahani, kabati, sufuria na vyungu!
Atapandisha cheo watoa rushwa na wachuuzi wa madiwani
Atawapiga wabunge wenu risasi
Atahonga wabunge wake kwa pesa za hazina!
Kwani Mtamfanyaje? Mupe kura msimpe atajishidisha tu!
Go to hell No one should worry bout crushing the Serpent which is destroying our freedom.Chadema wapo sahihi hawataki umwagaji damu hata siku.
Get rid of the Serpent and its few Stooges!Kwa hiyo unataka washike mtutu???
Umejieleza sana but nilitaka kuona hitimisho lako ni la aina gani.
Udikiteta umetamalaki idara zote za nchi.
Waliopotezwa, waliouawa, waliopigwa risasi, waliofunguliwa kesi za uchochezi, waliojeruhiwa wakabaki vilema wote walikutwa na hayo wakiipigania haki yao na ya kwako pia wakipinga udikiteta ktk nchi yao na kutaka haki itendeke.
Ikiwa mtu kafikwa na hayo wewe ulitaka yamfike yapi ili ujidhihirishe kuwa ni mpambanaji.
On my side naipongeza upinzani kwa jitihada zao kwani yanayofanyika sasa hata Idd Amini Dada nahisi hajawahi yafanya.
Unyama wa serikali hii ni grade wanu duniani. Aliyofanyiwa Dr Shika na watesaji urusi wamefanyiwa wenzetu tayari ktk nchi hii.
Sina imani na ccm, sina imani na viongozi wake maana wanayoyafanya hata shetani anawashangaa.
Angalia kifo cha mawazo, mwangosi, maisha ya kibiti, aliko saanane, ya mbowe kuharibiwa bustani, kukomeshwa kwa fao la kujitoa, maslahi ya watumishi, maisha ya wakulima, gharama za elimu hakika napata kinchefuchefu kusikia neno ccm na kuona vazi la kijani(kumradhi watani zangu yanga).