CHADEMA wanajidanganya tena sana

CHADEMA wanajidanganya tena sana

5ff11a511e2e1f7292d010e72954b867.jpg
4eaa79755399dcb416a54e5c463df23c.jpg
62f86a3bb902172e4cdf9274e88970ed.jpg
 
Thank you! But Kikwete amefanya mengi mara 1000 kuliko Magufuli! Lipi jipya alilofanya Magufuli mpaka sasa zaidi ya Usanii? Reli standard gage ni ya Kikwete
Flyover ni za Kikwete
Daraja la Kigamboni ni Kikwete!

Aichofanikiwa kukifanya Magufuli ni kubomoa Uchumimalioujenga Kikwete! Demokrasia na uhusiano wa kimataifa.

Nini zaidi ya Kupromote wahuni, watoaji rushwa, kuranda randa na Lipumba na Vile Vichwa vya Treni anavyo vikimbia?
unaweza sema hivyo kwa kuwa haupo huku siku hizi hamna kauli za unajiua mimi ni nani? unga kg1 mpk 800 unapata,mshahara japo haujaongezwa but unapatikana on time and early,muhimbili hamna kulala chini,mikelele ya baa mwisho saa 6 hamna kukesha,ofisi za umma kila mtu anasikilizwa regardless muonekano wake, airpot ukicheck inn hamna kuzugishwa mpk utoe dolla,nadhani mwaka huu tz ndio nchi iliyoongoza kutembelewa na watalii zaidi afrika mashariki,angalau ameweza kutemper na wazungu kuhusu madini.big project kama ununuzi wa ndege,mradi mkubwa wa ufuaji umeme afrika unokuja mradi wa maji mikubwa ya longido, kigoma,barabara za maeneo yaliyosahaulika kumaliziwa kama tabora,ujenzi wa hostel za wanafunzi,yapo mengi tu kama mwanadamu uliye na macho na kujua kuthamini lazima uone haya lakini kama tayari ushaguswa na magu effect lazima uponde na kusema hamna kitu bora aliyeondoka kwa kuwa mliweza kufanya mambo yasiyofaa bila tabu
 
Hayo yote yako wazi lakini VDM wamechoka kimkakati zaidi sana wanaonewa na kukimbilia kwenye media kutafuta sympathy kwa wananchi ambao nao kwa sasa hawana channels za taarifa except watumiaji wa mitandao ya kijamii tu
Hili ni kosa la chama kuwa humble katika utawala unaohitaji aggressive politics
kama kweli CDM wamechoka angakkia mikutano ya sasa Chama hakijawahi kuwabeba watu kujankuwasikiliza hakigungi barabara iki kujaza watu Wafuasu wanaoigwa mabomu ....Ruhusuni haki ya kikatiba ya mikutano na tubishane kwa hoja.
 
Nyie majitu mnaosema CDM imeooteza nwelekeo,mvuto Sijui CDM waoga viongozi wajuu hawafai.Mmewafunga CDM mikono mnawaoiga huku mkijisifia mnapendwa ifungueni mikono ya CDM muone mechi itakuaje tamu.CDM haifananishi Mugabe Na magufuli CDM inafananisha ccmna mugabe.kila Siku Mbowe na Lowasa hawafai Inawauma sana MawaIri wakuu wawili na mawazuri kibao nyie mwanunua madiwani
 
kama kweli CDM wamechoka angakkia mikutano ya sasa Chama hakijawahi kuwabeba watu kujankuwasikiliza hakigungi barabara iki kujaza watu Wafuasu wanaoigwa mabomu ....Ruhusuni haki ya kikatiba ya mikutano na tubishane kwa hoja.
Wananchi walishaichoka CCM siku nyingi na huo ni mwendelezo lakini CDM nayo inafanya kampeni ikiwa na fatique kubwa.
Kushinda uchaguzi siyo kuwa na nyomi kwenye kampeni tu kuna mambo mengine mengi ya kimkakati
 
Swala hapa sio nani ashide! Swala ni Demokrasia idumishwe na Anayeshinda iwe ameshida kihalali ! Ila wewe unaonekana unashabikia as if ni simba na Yanga! Ok Let say Kunabakia Wabunge 2 wa Upinzani 2020 Faida Utakayopata kama Mwananchi ni nini? Itakuwa ni Majanga zaidi hata kwa CCM kwenyewe! Kukiondolewa kushinda Uchaguzi kwa Hila! Anayeshinda atakaa akijua asipofanya aliyotumwa na Wananchi next election watamtosa! Na hii inampa mwananchi nguvu na Ni Faida kwa Taifa zima. Anayejua atashinda kwa wizi,

Atanunua Ndege bila Budget
Atawavunjia nyumba na kuponda ponda sahani, kabati, sufuria na vyungu!
Atapandisha cheo watoa rushwa na wachuuzi wa madiwani
Atawapiga wabunge wenu risasi
Atahonga wabunge wake kwa pesa za hazina!
Kwani Mtamfanyaje? Mupe kura msimpe atajishidisha tu!
Jinyonge huko ughaibuni uliko upate kula. Tuachie Tanzania yetu
 
Hata watembee uchi upinzani kipigo kinawahusu 2020 tena kipigo kibaya kabisa
Unachoandika unakisoma??kura milioni 6 na ushee bado unabeza.....na tafiti zinaonyesha upinzani unakuwa na vyama vikongwe vinashuka....Fanya research vyama vingapi "vikuukuu"Afrika vimedondoka....tafakuri
 
Chadema imetoka kwenye harakati na sasa ni iko kweny mikakati, nina imani kubwa na mbowe na viongoz wa juu wa chadema hichi kimya na huu upole sio bure utambi tayari unapetrol na mshika kibiriti kashakiwasha anasubiri kipenga alipue
 
unaweza sema hivyo kwa kuwa haupo huku siku hizi hamna kauli za unajiua mimi ni nani? unga kg1 mpk 800 unapata,mshahara japo haujaongezwa but unapatikana on time and early,muhimbili hamna kulala chini,mikelele ya baa mwisho saa 6 hamna kukesha,ofisi za umma kila mtu anasikilizwa regardless muonekano wake, airpot ukicheck inn hamna kuzugishwa mpk utoe dolla,nadhani mwaka huu tz ndio nchi iliyoongoza kutembelewa na watalii zaidi afrika mashariki,angalau ameweza kutemper na wazungu kuhusu madini.big project kama ununuzi wa ndege,mradi mkubwa wa ufuaji umeme afrika unokuja mradi wa maji mikubwa ya longido, kigoma,barabara za maeneo yaliyosahaulika kumaliziwa kama tabora,ujenzi wa hostel za wanafunzi,yapo mengi tu kama mwanadamu uliye na macho na kujua kuthamini lazima uone haya lakini kama tayari ushaguswa na magu effect lazima uponde na kusema hamna kitu bora aliyeondoka kwa kuwa mliweza kufanya mambo yasiyofaa bila tabu
Pia usisahau 65% hawana maji safi na salama

Pia usisahau kuna wanafunzi hawana mikopo ila kuna hela ya kujenga airport porini

Usisahau 40% hawana umeme wa uhakika hasa vijijini

Usisahau watu 20 wanakufa kila cku sababu wanakosa medical attention sababu hakuna vituo vya afya vya kutosha

Usisahau watanzania 70% wanaishi chini ya dollar moja kwa siku

Usisahau thamani ya pesa inapungua 16% kila mwaka per each 100 shillings

Uwiiiiiii mengi sana umesahau ila nashangaa unajitia upofu kuyaona
 
Ngoja kwanza kuna mtu bado anakiburi kama ya Mugabe wa enzi hizo.. yuko tayari kufanya lolote hata kuua.. picha ndogo tutaona kwenye uchaguzi wa madiwani tar 26/11
 
Pia usisahau 65% hawana maji safi na salama

Pia usisahau kuna wanafunzi hawana mikopo ila kuna hela ya kujenga airport porini

Usisahau 40% hawana umeme wa uhakika hasa vijijini

Usisahau watu 20 wanakufa kila cku sababu wanakosa medical attention sababu hakuna vituo vya afya vya kutosha

Usisahau watanzania 70% wanaishi chini ya dollar moja kwa siku

Usisahau thamani ya pesa inapungua 16% kila mwaka per each 100 shillings

Uwiiiiiii mengi sana umesahau ila nashangaa unajitia upofu kuyaona[/QUO
hayo unayoyasema kweli yapo ila kwa kuanza na airport porini kama unavyosema bahati mbaya sana kumuona binadamu anajaribu kujitoa fahamu na kutafuta chepuo la kisiasa kupinga suala la airport mi nasema hata angejenga bandari huko pia ni sawa tu coz hata wewe unajitahidi kuwapatia maisha bora na yenye hadhi watu wanaokuzunguka na sijui kama unawajali jirani zako kwa nafasi uliyopo ili usije ukazua maneno mwisho wa siku neema uliyonayo ikiondoka.....mfano butiama masasi rufiji na msoga wanajivunia nini wao kutoa viongozi wa juu wa nchi?? ila kilimanjaro inavijunia mpka kesho kutoa first lady na waziri wa fedha si ndio eeh!! umesema 40% hawana umeme wa uhakika ingekua vizuri ungesema kabla ya raisi kuingia ilikua % ngapi na mpk sasa ipo 40% katika miaka yake miwili hope mpk 2020 itakua less zaidi,hio y watu 20 kufa kila siku sijui hizo takwimu za kila siku ni wizara ipi inatoa ili niweze kujiridhisha kuwa ni kweli hicho unachosema, watu 70% wanaishi chini ya dola moja ni kwa mujibu wa UNDP si ndiyo? hapo kweli ni changamoto kwa serikali inabidi ifanye jitihada za lazima kuhakikisha wananchi wake wanafanya kazi kweli kwa kuwawekea mazingira rafiki mfano kuna mapori mengi kwanini wasiingie ubia na wasomi wake watakaoandika miswada ya kufanya miradi mbalimbali katika mapori hayo ili kuongeza tija katika upatikanaji wa ajira na kuzalisha vitu kwa wingi ambavyo vitasidia unafuu katika maisha na pia utekelezaji wa hiyo sera ya viwanda itakua kdg smooth,pia wapinzani kusaidia kumobilize maendeleo katika maeneo yao wanayotawala kwa kuwa wanajigamba wana "NYOMI" watumie nyomi hio vizuri katika kuhamasisha kuleta maendeleo katika maeneo husika na sio kuipigia domo tu hio nyomi..nadhani yakifanyika hayo yatapandisha thamani ya pesa
 
unabishia takwimu zangu kumbe zako huna??? How do u debate bila kuwa na facts ingia hata wikipedia angalia GDP ya nchi zote ndio urudi kubishana hapa pia pitia human development index huko Google ndio ujue unachobisha

Anyway unashangaza kutetea airport wakati jimbo lake pekee shule hazina vyoo na 35% hawana maji kabisa!!! Na vituo vya afya ni vichache sana havina madawa kwani hivyo asingeacha legacy kma unavyosuggest hapo
 
Who care! 2020 Watajua Kama Mimi ni Dr. Shika au Nostradamus, It does not need to be a prophet to predict what am telling them. Najaribu kuwashtua Mapema!
Chadema ni akina nani? Kuliko kuhamasisha nyuma ya keyboard...jitokeze hadharani na anza uanaharakati ili jamii pana ikuunge mkono.
 
unabishia takwimu zangu kumbe zako huna??? How do u debate bila kuwa na facts ingia hata wikipedia angalia GDP ya nchi zote ndio urudi kubishana hapa pia pitia human development index huko Google ndio ujue unachobisha

Anyway unashangaza kutetea airport wakati jimbo lake pekee shule hazina vyoo na 35% hawana maji kabisa!!! Na vituo vya afya ni vichache sana havina madawa kwani hivyo asingeacha legacy kma unavyosuggest hapo
Nahisi umesoma vizuri mdau nimesema siwezi jibu kitu amabcho sina uhakika kinatolewa na nani so ulitakiwa kusema tu ni flani ndio kasema ili nipime reliability ya mtoa takwimu...pia mi nimejibu hoja zako karibia zote but umeshindwa hata kunisapoti kuhusu upinzani kuhamasisha maendeleo hapo ndio napataga shida na wanasiasa wa nchi hii kuwa lengo ni kuinyanyua tz au lengo flani atawale! kuhusu ujenzi wa vyoo 35% kutokuwa na maji na vituo vy afya ni vichache ni matter of time mdau hope hiyo % itapungua na sana mpk amalize muda wake na pia atawapa wapinzani hoja mufilisi za majukwaani kuwa kapendelea sana kwao...Halafu nimekukatalia takwimu moja tu naona umegeneralize kama nimekataa takwimu zote duh..kweli binadamu nature yake ni kuona mapungufu tu
 
Mapokezi ya huyu mzee Lowasa yatatugharimu sana.....
 
Kuongea tu kila mtu anaweza! Ukiongea na Ukipuuzwa? Unafanyaje?. Nilimsikia Lowassa ati akisema, "Namwomba Rais Tena kwa Unyenyekevu aruhusu Katiba" ilinichefua? Ni kama Lowassa anatuambia Mandela angewaomba Akina Foster tena kwa Unyenyekevu waondoe Apartheid! Ni kama Nyumbu mwenye Njaa anakamatwa mguu na Mamba! Badala ya kufurukuta ikibidi hata mguu ukatike amwachie ati apige magoti kuomba Mamba amwachilie! Kabla sala haijaisha si tu mamba atashika mguu ni kichwa kitakuwa Kinywani. Saa nyingine Ni Bora kufunga Mdomo!

wakati mwingine hizi hoja zinagusa mpaka mishipa ya fahamu mkuu!
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.

My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.

I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.

Halafu acheni madharau!
CCM itaondoka bila mwananchi wa kawaida kunwaga damu; mateso na damu zitamwagika kwa viongozi wa upinzani ili kutoa kielelezo hai kwa wananchi kwamba serikali iliyochoka kila kauli huwa ni uchochezi.
 
Back
Top Bottom