Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!