CHADEMA wanajidanganya tena sana

unaweza sema hivyo kwa kuwa haupo huku siku hizi hamna kauli za unajiua mimi ni nani? unga kg1 mpk 800 unapata,mshahara japo haujaongezwa but unapatikana on time and early,muhimbili hamna kulala chini,mikelele ya baa mwisho saa 6 hamna kukesha,ofisi za umma kila mtu anasikilizwa regardless muonekano wake, airpot ukicheck inn hamna kuzugishwa mpk utoe dolla,nadhani mwaka huu tz ndio nchi iliyoongoza kutembelewa na watalii zaidi afrika mashariki,angalau ameweza kutemper na wazungu kuhusu madini.big project kama ununuzi wa ndege,mradi mkubwa wa ufuaji umeme afrika unokuja mradi wa maji mikubwa ya longido, kigoma,barabara za maeneo yaliyosahaulika kumaliziwa kama tabora,ujenzi wa hostel za wanafunzi,yapo mengi tu kama mwanadamu uliye na macho na kujua kuthamini lazima uone haya lakini kama tayari ushaguswa na magu effect lazima uponde na kusema hamna kitu bora aliyeondoka kwa kuwa mliweza kufanya mambo yasiyofaa bila tabu
 
kama kweli CDM wamechoka angakkia mikutano ya sasa Chama hakijawahi kuwabeba watu kujankuwasikiliza hakigungi barabara iki kujaza watu Wafuasu wanaoigwa mabomu ....Ruhusuni haki ya kikatiba ya mikutano na tubishane kwa hoja.
 
Nyie majitu mnaosema CDM imeooteza nwelekeo,mvuto Sijui CDM waoga viongozi wajuu hawafai.Mmewafunga CDM mikono mnawaoiga huku mkijisifia mnapendwa ifungueni mikono ya CDM muone mechi itakuaje tamu.CDM haifananishi Mugabe Na magufuli CDM inafananisha ccmna mugabe.kila Siku Mbowe na Lowasa hawafai Inawauma sana MawaIri wakuu wawili na mawazuri kibao nyie mwanunua madiwani
 
kama kweli CDM wamechoka angakkia mikutano ya sasa Chama hakijawahi kuwabeba watu kujankuwasikiliza hakigungi barabara iki kujaza watu Wafuasu wanaoigwa mabomu ....Ruhusuni haki ya kikatiba ya mikutano na tubishane kwa hoja.
Wananchi walishaichoka CCM siku nyingi na huo ni mwendelezo lakini CDM nayo inafanya kampeni ikiwa na fatique kubwa.
Kushinda uchaguzi siyo kuwa na nyomi kwenye kampeni tu kuna mambo mengine mengi ya kimkakati
 
Jinyonge huko ughaibuni uliko upate kula. Tuachie Tanzania yetu
 
Hata watembee uchi upinzani kipigo kinawahusu 2020 tena kipigo kibaya kabisa
Unachoandika unakisoma??kura milioni 6 na ushee bado unabeza.....na tafiti zinaonyesha upinzani unakuwa na vyama vikongwe vinashuka....Fanya research vyama vingapi "vikuukuu"Afrika vimedondoka....tafakuri
 
Chadema imetoka kwenye harakati na sasa ni iko kweny mikakati, nina imani kubwa na mbowe na viongoz wa juu wa chadema hichi kimya na huu upole sio bure utambi tayari unapetrol na mshika kibiriti kashakiwasha anasubiri kipenga alipue
 
Pia usisahau 65% hawana maji safi na salama

Pia usisahau kuna wanafunzi hawana mikopo ila kuna hela ya kujenga airport porini

Usisahau 40% hawana umeme wa uhakika hasa vijijini

Usisahau watu 20 wanakufa kila cku sababu wanakosa medical attention sababu hakuna vituo vya afya vya kutosha

Usisahau watanzania 70% wanaishi chini ya dollar moja kwa siku

Usisahau thamani ya pesa inapungua 16% kila mwaka per each 100 shillings

Uwiiiiiii mengi sana umesahau ila nashangaa unajitia upofu kuyaona
 
Ngoja kwanza kuna mtu bado anakiburi kama ya Mugabe wa enzi hizo.. yuko tayari kufanya lolote hata kuua.. picha ndogo tutaona kwenye uchaguzi wa madiwani tar 26/11
 
 

hayo unayoyasema kweli yapo ila kwa kuanza na airport porini kama unavyosema bahati mbaya sana kumuona binadamu anajaribu kujitoa fahamu na kutafuta chepuo la kisiasa kupinga suala la airport mi nasema hata angejenga bandari huko pia ni sawa tu coz hata wewe unajitahidi kuwapatia maisha bora na yenye hadhi watu wanaokuzunguka na sijui kama unawajali jirani zako kwa nafasi uliyopo ili usije ukazua maneno mwisho wa siku neema uliyonayo ikiondoka.....mfano butiama masasi rufiji na msoga wanajivunia nini wao kutoa viongozi wa juu wa nchi?? ila kilimanjaro inavijunia mpka kesho kutoa first lady na waziri wa fedha si ndio eeh!! umesema 40% hawana umeme wa uhakika ingekua vizuri ungesema kabla ya raisi kuingia ilikua % ngapi na mpk sasa ipo 40% katika miaka yake miwili hope mpk 2020 itakua less zaidi,hio y watu 20 kufa kila siku sijui hizo takwimu za kila siku ni wizara ipi inatoa ili niweze kujiridhisha kuwa ni kweli hicho unachosema, watu 70% wanaishi chini ya dola moja ni kwa mujibu wa UNDP si ndiyo? hapo kweli ni changamoto kwa serikali inabidi ifanye jitihada za lazima kuhakikisha wananchi wake wanafanya kazi kweli kwa kuwawekea mazingira rafiki mfano kuna mapori mengi kwanini wasiingie ubia na wasomi wake watakaoandika miswada ya kufanya miradi mbalimbali katika mapori hayo ili kuongeza tija katika upatikanaji wa ajira na kuzalisha vitu kwa wingi ambavyo vitasidia unafuu katika maisha na pia utekelezaji wa hiyo sera ya viwanda itakua kdg smooth,pia wapinzani kusaidia kumobilize maendeleo katika maeneo yao wanayotawala kwa kuwa wanajigamba wana "NYOMI" watumie nyomi hio vizuri katika kuhamasisha kuleta maendeleo katika maeneo husika na sio kuipigia domo tu hio nyomi..nadhani yakifanyika hayo yatapandisha thamani ya pesa
 
unabishia takwimu zangu kumbe zako huna??? How do u debate bila kuwa na facts ingia hata wikipedia angalia GDP ya nchi zote ndio urudi kubishana hapa pia pitia human development index huko Google ndio ujue unachobisha

Anyway unashangaza kutetea airport wakati jimbo lake pekee shule hazina vyoo na 35% hawana maji kabisa!!! Na vituo vya afya ni vichache sana havina madawa kwani hivyo asingeacha legacy kma unavyosuggest hapo
 
Who care! 2020 Watajua Kama Mimi ni Dr. Shika au Nostradamus, It does not need to be a prophet to predict what am telling them. Najaribu kuwashtua Mapema!
Chadema ni akina nani? Kuliko kuhamasisha nyuma ya keyboard...jitokeze hadharani na anza uanaharakati ili jamii pana ikuunge mkono.
 
Nahisi umesoma vizuri mdau nimesema siwezi jibu kitu amabcho sina uhakika kinatolewa na nani so ulitakiwa kusema tu ni flani ndio kasema ili nipime reliability ya mtoa takwimu...pia mi nimejibu hoja zako karibia zote but umeshindwa hata kunisapoti kuhusu upinzani kuhamasisha maendeleo hapo ndio napataga shida na wanasiasa wa nchi hii kuwa lengo ni kuinyanyua tz au lengo flani atawale! kuhusu ujenzi wa vyoo 35% kutokuwa na maji na vituo vy afya ni vichache ni matter of time mdau hope hiyo % itapungua na sana mpk amalize muda wake na pia atawapa wapinzani hoja mufilisi za majukwaani kuwa kapendelea sana kwao...Halafu nimekukatalia takwimu moja tu naona umegeneralize kama nimekataa takwimu zote duh..kweli binadamu nature yake ni kuona mapungufu tu
 
Mapokezi ya huyu mzee Lowasa yatatugharimu sana.....
 

wakati mwingine hizi hoja zinagusa mpaka mishipa ya fahamu mkuu!
 
CCM itaondoka bila mwananchi wa kawaida kunwaga damu; mateso na damu zitamwagika kwa viongozi wa upinzani ili kutoa kielelezo hai kwa wananchi kwamba serikali iliyochoka kila kauli huwa ni uchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…