You dont know me Bro! Mimi Niko Upande wa Haki, Hata Chadema wangekuwapo Madarakani wakawanyanyasa CCM ingenikera. Second! Niko upande wa Demokrasia Nguvu kwa Wananchi! Anayeshinda kwa Wizi hata kama ni Baba yangu mzazi nitamdharau. Ni sawa na Kutaka Ufanikiwe biashara yako kwa kuchoma Duka la Jirani, Huo ni Uhuni na ushenzi, that is What Magufuli is Doing kwa kumtumia Lipumba tofauti Iko wapi.
Third mimi sio mtu wa upenzi wa Kijinga Kuwawapenda Watu sio kuwaacha usiwaambie ukweli unaouona hasa ikiwa ni wa jambo litakalokuja kuwapa hasara. Wakati Nccr Mageuzi wakigombana miaka ile ya 1996 Niliwaambia haya haya akina Ndimara Tegambwage na Akina Mabere Marando! Kiliishia wapi? Walikiwa na wabunhe 25 wakuchaguliwa wakati huo sasa wanao wangapi? 2? Au ni James Mbatia peke yake! Na I was only 23 now am wiser!
Aliyeratibu Lissu Kupigwa Risasi kwanza! Wakkweza kusaidia akaimbiwa Nyimbo za Komba, "Hapo itapendeza zaidi"Tupe ABC tufanyaje?
Huko mbali sana, kama Mh Mbowe ashaongea yote. Nadhani twende kwenye katiba.Aliyeratibu Lissu Kupigwa Risasi kwanza!
Nachosema Mkuu sio Kuwa wataslide Nyuma Kwa wananchi Kutowapenda! No no! Am sure leo hii Uchaguzi Ukifanyika kwa haki Magufuli hawezi Pata 25% Nchi nzima dhidi ya Chadema.TL Marandu, mimi hupenda sana kusoma post zako mkubwa na huwa unafanya uchambuzi mzuri sana...
Hata observation yako hii ni njema na unaweza ukawa uko sahihi kabisa...
Lakini kuna jambo moja umelisahau kuwa tangu CHADEMA iasisiwe na kushiriki chaguzi zote i. e 1995, 2000, 2005, 2010 na 2015 hawajawahi ku - slide kurudi nyuma...!!
Katika chaguzi zote wamekuwa wanaongeza ushindi wa idadi ya kata (madiwani), majimbo (wabunge) na idadi ya kura za urais tramendousily pamoja na vikwazo vyote dhidi ya mifumo ya hovyo ya usimamizi wa chaguzi ktk nchi za kiafrika mfano NEC kuwa chini ya chama kilicho madarakani (kutokuwa huru) , vyombo vya dola kukibeba chama kilicho ikulu na kwa ujumla katiba mbovu....
I am sure ktk mengi uliyoyasema hapa, vyama vya upinzani wanayajua na wanafahamu namna ya kucheza na siasa zinazofanywa na utawala huu dhaifu kabisa kuliko tawala zote...
Kwa hili nililosema hapa juu wengi wanaweza wasinielewe hasa wazee wa makinikia. Lakini believe it or not, ukweli ni kuwa nchi hii chini ya CCM awamu hii kwa uongozi wa Magufuli ni hovyo zaidi kuliko awamu ya JK na ushahidi uko wazi mno....
Mojawapo ni kuwa CCM haipo ila tuna mtu anayeitwa Magufuli ambaye kiuhalisia hajui siasa na anakipeleka kuzimu chama chake.
Tukiacha hayo, trust me. Kuanzia chaguzi hizi za marudio za ubunge na udiwani hadi 2020 utanipa majibu namna upinzani utakavyoichachafya serikali (siyo CCM, maana CCM haipo).....
2020, CCM yaweza kushinda lakini nakuambia itakuwa kwa kumwaga damu. Lakini kamwe upinzani hususani CHADEMA itakuwa consistent ktk ku - mantain matokeo ya ushiriki wake ktk chaguzi hizi.....
Hiyo ya kutoka wabunge zaidi ya 70 iliyonayo sasa hadi 5 haitatokea na kumbuka wakati umebadilika sana, watu wamebadilika sana na enzi za NCCR Mageuzi zilishapita hazijirudii tena. Tuko enzi zingine kabisa...!!!
However, ushauri na maoni yako yamepokelewa na yatafanyiwa kazi, I believe...
Kuongea tu kila mtu anaweza! Ukiongea na Ukipuuzwa? Unafanyaje?. Nilimsikia Lowassa ati akisema, "Namwomba Rais Tena kwa Unyenyekevu aruhusu Katiba" ilinichefua? Ni kama Lowassa anatuambia Mandela angewaomba Akina Foster tena kwa Unyenyekevu waondoe Apartheid! Ni kama Nyumbu mwenye Njaa anakamatwa mguu na Mamba! Badala ya kufurukuta ikibidi hata mguu ukatike amwachie ati apige magoti kuomba Mamba amwachilie! Kabla sala haijaisha si tu mamba atashika mguu ni kichwa kitakuwa Kinywani. Saa nyingine Ni Bora kufunga Mdomo!Huko mbali sana, kama Mh Mbowe ashaongea yote. Nadhani twende kwenye katiba.
Katiba sio hiari ni suala la lazima na wakati ni sasa. Juzi Mh Mbowe alisema baada ya huu uchaguzu kinachofuata ni kuidai katiba mpya!!Kuongea tu kila mtu anaweza! Ukiongea na Ukipuuzwa? Unafanyaje?. Nilimsikia Lowassa ati akisema, "Namwomba Rais Tena kwa Unyenyekevu aruhusu Katiba" ilinichefua? Ni kama Lowassa anatuambia Mandela angewaomba Akina Foster tena kwa Unyenyekevu waondoe Apartheid, What a stupid statement! Ni kama Nyumbu mwenye Njaa anakamatwa mguu na Mamba! Badala ya kufurukuta ikibidi hata mguu ukatike amwachie ati apige magoti kuomba Mamba amwachilie! Kabla sala haijaisha si tu mamba atashika mguu ni kichwa kitakuwa Kinywani. Saa nyingine Ni Bora kufunga Mdomo!
Walibase Ukuta kwenye Maandamano! Maandamano sio ya Lazima hata Kidogo! There are thousands of ways eg Kenya wamesusia Biashara za Uhuru! Si kuna hata Mapadri na Maaskofu wengine wanachukizwa na Mauhuni yanayoendelea! Unataka kuniambia Mkate na Divai haviwezi kumpelekea Mtu kuhitaji Upako Mtakatifu? (Supreme Anction) Mambo zingine hazihitaji hasira ni kwa Upendo tu! But an action is an action at the end of the day! Na somo linaeleweka Vizuri!Ni kweli ukuta ulizimwa kirahisi tunakoelekea ni pabayawatu wasio wazuri wako kazini
Lakini unachotaka kifanyike na Chadema ni wakatae kuonewa kwa vitendo.
Matokeo yake ya hatua hiyo ni nini?
Ni umwagaji damu za watu wasio na hatia.
Kwa kuwa lazima utambue kuwa CCM kwa maana ya Mwenyekiti wake ndiyo anaye "own" majeshi yote ya nchi hii!
Kwa maana yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote hayo.....
Inapotokea mtu anaye "own" majeshi yote hayo akili yake "haijatulia" hakika Taifa linakuwa katika mazingira magumu sana!
Ndiyo maana tunasema solution pekee ya matatizo makubwa ya nchi hii ni kuwa na Katiba mpya, ambayo ita- separate power katika mihimili 3 ya nchi ambayo ni Executive, Judiciary na Parliament.
Mkuu ulichoongea ni sahihi kabisaWho care! 2020 Watajua Kama Mimi ni Dr. Shika au Nostradamus, It does not need to be a prophet to predict what am telling them. Najaribu kuwashtua Mapema!
utampigia chapuo apewe unaibu Katibu mkuu??We mshikaji nakukubaligi sana kwa hoja zako! Toka ughaibuni njoo maskini kwa hakika utaaminiwa na utapewa nafasi nzuri tuu CHADEMA. Nitakua wa kwanza kukupigia Chapuo hata kwenye Unaibu katibu mkuu. Ila nakuona uko very aggressive, unaweza kugombana na viongozi sana.
Duh!Hivi CHADEMA bado ipo?
What is your best options for them to rescue the current situation?Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!
Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"
Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!
Why I say so!
1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?
3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?
5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!
6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!
Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
Magufuli hata Akipata asilimia 2% yaKura zote ataangiza itangazwe amepata kura 98%. Tathmini ya kufanya sasa miaka miwili kabla ni je akifanya hivyo Mtafanya nini? Ushahidi wa kufanya hilo Uko wapi? Kwenye siasa kuna Matukio yanatokea, yanakupa fursa ya Justification ya Kufanya Lolote na Wananchi wanawaelewa, na Dunia inaelewa, Mfano Mzuri ni Tundu Lissu, alipopigwa Risasi Mlikimbiza Nairobi, Nawapongeza sana hata Mimi ningefanya hivyo. Lakini Nisingeishia hapo, wakati Lissu akiwa out of the line of fire! Mlitakiwa Muwatafute Wauaji na hasa yule Co ordinator! Ili iwe Polisi wakiwakamata kuwe ni Kuwanusuru! Sasa mliishia Kupiga tu Kelele matokeo yake ndio Kuna ngedere bungeni anajaribu hata kulifanyia Dhihaka.
My Take! Namheshimu Lowassa ila anawapa Matumaini ya Uongo kwa Kuwashauri Muache siasa za harakati. Lowassa ni Mzee, sisemi ni Mwoga, Lakini ni Mwoga wa Kupoteza! Kuna siku polisi walimlazimisha kuingia kwenye gari aache kuwasalimia wananchi haraka haraka akaingia sasa sijui ni Familia yake ilimpa masharti asijiingize Kwenye shida! But Mheshimiwa Lowassa , "You cant have your cake and eat it" Hata kama Yeye hatakuwa Front line kuwazuia Vijana Kuwa Ngangari in Action kama Kenya! In the End hata yeye atapoteza.
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Halafu acheni madharau!