CHADEMA wanajidanganya tena sana

Hatuna upinzani nchi hii labda siku moja jeshi litakuwa wapinzani wa kweli wa ccm km Zimbambwe but not such bushit opposition parties...! I proud of CCM and fearful opposition parties worries!
Hata Zimbabwe ZANU PF haina wapinzani!

Yani imebidi ZANU PF wenyewe wafanye mageuzi kwa kushirikiana na jeshi.
 
Hapa ni kwa Vile naandika kwa Uma! Aliyesimamia Tundu Lissu Kpigwa Risasi hakuna Jinsi! Sisemi aggressive kwa kutangaza au kuruka Ruka! Ila Kimya kimya na kwa akili sana! Ila kwa njia ambayo watajua Wamelipwa! Ili wajue the magic of intimidation shall never work. Katika kujibu Mapigo Duniani kote Kuna mambo mnafanya Kimya na kwa akili sana! Na Kuna Mambo unatakiwa kufanya kwa wazi kila mtu ajue. Na inatakiwa kupima kipimo ambacho kitamgharimu mhusika in a way atafikiri sana kurudia tena ujinga kama huo!
 
Kosa Kubwa la Viongozi wa Chadema wameishaanza Kuonesha Uoga, kitu ambacho ndiyo wanampa Kichwa Alcohol huyu! Lissu ndiyo alionesha kutokuwa na hofu! Zitto asingekuwa Ndumila Kuwili angungana na Tundu Lissu wapewe Nafasi za Juu mfano Chadema, mbona Vijana wangedai Haki yao na Si Mazwazwa wengine hawa, Wameufyata!

The only thing to remember to Every Revolution, Blood is Inevitable! Let us Start a fire tuone kama hatutaheshimiana hii Nchi katka Swala la Demokrasia ya Wengi.
 
Somebody can still be very aggressive even in the background, mimi sina mandate yoyote Chadema! But there comes a time ambapo one can do anything in an individual level. It will be very foolish of me if I tell you "What I can n will do"
 
kweli mkuu. ukilinganisha na upinzani hapo Kenya tu, UKAWA wapo nyoronyoro mnoooo!
 
Top leadership ya CDM imeungana na wananchi kwenye vibambaza vya nyumba badala ya kupave njia ya kupita kwa mikakati mipya.
Wamesahau kabisa kuwa the absence of service mentality is the absence of results.
Watu wapya na mikakati mipya inahitajika.
Kule bungeni wameshapigwa Knock out na huku mitaani wana mwelekeo huo kama hawatabadilika
 
Its not Too late Yet, Tukio la Lissu aliyetumwa kuliratibu anajijua na Wanamjua! Kumwacha hivi hivi ni Political Suicide!
 
I solute Wapinzani wa Kenya, Hawataki Upuuzi, N the mount War in all fronts, Mahakamani, In the Streets, In the Media na In the International platforms.
Si ulimpongeza kenyatta kwa kuwapiga mabomu wapinzani wewe?
 
Nafikiri nd Marandu you ha a valid point but short suggestion! Inawezekana kuwa kwako ugaibuni has blinded you from realities that Chadema as a party faces. Nafikiri hatoshi tu kusuggest kuwa ENL awe 'ngunguri', yaani akomae tu kiuanaharakati na waache lots of underground initiatives ambazo possibly zitakuwa na better yield come 2020.

Mawazo yako ni mema lakini no vizuri kusisitiza uvumilivu wa kimkakati!
 
Si ulimpongeza kenyatta kwa kuwapiga mabomu wapinzani wewe?
Hell No huo ni Uwongo! Mimi siwezi fanya hivyo in million years Nilikuwa nikiongea kwa Picha! Soma vizuri na usikilize Video hii pia!
 
Tundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!
 
Mkuu si wewe uje tujiunge kwenye harakati?? Mbona wewe uko Marekani unatanua tu halafu unataka wapigwe mabomu wakati wewe unaandika kwenye JF tu!! Njoo basi tunakusubiri mkuu!!
 
Usiwalaumu,walikuwa wanafahamu yote,isipokuwa fasihi ilitumika.
 
Nimekuelewa kaka...KIukweli kwa nchi nyingi za kiafrika huwezi kuomba uongozi ukiwa mpinzani ni lazima upiganie kweli kupata hyo nafasi
 
Tundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!
Na kama mhusika hakujulikana mapema wangefanyaje wakati ambapo uhai wa TAML ulikuwa mashakani? No, Mimi nafikiri tuwape benefit of the doubt kwamba they had good reason why not react in the manner you are suggesting!
 
Tundu Lissu aliopigwa Risasi kesho yake tu walitakiwa wanyanyue mhusika aliyesimamia zoezi! Period, matukio mengine kukosa kureact ni kosa kubwa kubwa mno! Hara unapokuwa umepata uhalali wa kureact na kila mtu atakuelewa!
Wenzako walikua wanalenga kula michango ya mgonjwa na sio kutafuta watuhumiwa
 

You are very smart Mkuu.kikwete tutamkumbuka daima!!!
 

Bravo PTER, this is a well thought out analysis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…