Kama kuna utaratibu wa upinzani kushirikiana utangazwe hadharani, haiwezekani chadema iibuke ghafla na kujaribu kutudanganya ATI Leo wanaitaka CUF, si jambo jepesi, linahitaji mchakato, miezi kadhaa iliyopita nilimsikiliza Mbowe na SLAA wakihutubia mikutano kadhaa Mtwara, kila mmoja kwa wakati wake aliwataka wananchi waachane na CUF kwa sababu siyo chama cha upinzani na ni wasaliti. Katika Hali kama hiyo Leo wanatakaje kuandamana na wasaliti. I think CUF wana "aseti" ya muda mrefu. Mtatiro atawasaidia sana, ana msimamo na hayumbishwi, ndiyo maana chadema kila siku mnapambana eti atoke CUF aje kwenu. Akiendelea na msimamo wake atakuja kuwa kiongozi mkubwa zaidi ya halo, and infact in CUF, he is the only vibrant and consistent youth. Mtatiro usiyumbe, usifanye kazi kwa matakwa ya chadema, songs mbele.
Mkuu naona wewe umeingia rasmi kumsafisha Mtatiro.
Tatizo la kufanya siasa ofisini na kusahau kwenda field!hii inamfanya asijue kabisa kinachoendelea mitaani!Kwani Dr Slaa aliwatajia wapi wale vinara wa ufisadi?
Si ilikuwa ni Mwembe Yanga pale Temeke?
Sasa huyu Mtatiro anajishaua kwa lipi as if Chadema hawajawahi kufanya mikutano hapo Temeke?
Wala simsafishi Mtatiro, na mara nyingi nimewahi kumkosoa kama navyowakosoa viongozi wengine wa vyama vya siasa. Katika hili chadema wamechemka, wamezoea vya kunyonga, hebu chadema ijipange zaidi, jana ninasikia kwenye maspika yao ya matangazo wakinadi eti Lipumba atakuwepo....mbatia atakuwepo....SLAA atakuwepo....mbowe atakuwepo....zitto atakuwepo...Mtatiro atakuwepo....mnyika atakuwepo.....kumbe hawajawashirikisha wenzao. Huu ni unafiki mkubwa sana. Narudia tena, chadema watengeneze upinzani imara kwa njia sahihi, siyo kama vibaka.
Mkuu hivi ndoa yenu kule zanzibar ilifungwa bomani?
Sasa wew si ndi-ye mshenga halafu unauliza ilifungwa wapi? Au ndio unaonesha unafiki wako?
Huyu dogo akili ndogo sana. Naamini kabisa kwamba hajafikiria kiundani kuhusu swala hili! Kuna muda mwingine neno NGOME halifai hata kidogo! !! tukiachilia hilo mbali, mimi nadhani kuna hali ya udini sana pale Temeke inayotumiwa na CUF kama daraja! Mahubiri ya MASHEHE yamekua sio maaazuri kwa miezi mingi ilopita! wanadhani kuzungumzia mfumo kristo serikalini ndio njia ya kwenda MBINGUNI kumbe usanii tu!
DR amekuwa mbunge miaka 15 kwa ticketi ya CHADEMA, miaka 5 kwa ticket ya urais na 2015 atatimiza miaka 25 ya kugombea uongozi. Na huu si ulafi? Kwani maisha yake yote lazima awe kiongozi? Au hakuna wanaoweza kuchukua nafasi yake katika kugombea. Kwanza ameshazeeka na huenda hata akili inapungua kasi ya kufikiri, inaweza ikawa taabu kukabiliana na changamoto za matatizo ya watanzania.
Mapovu ya nini kwani Mtatiro asipokuja kwenye mkutano Chadema itapungukiwa kitu gani, halafu tofautisha mipango ya kushirikiana na kualikwa kwenye mkutano hata CCM wanakaribishwa, huwezi kusema kitendo cha Chadema kuwaalika CCM kwenye vikao vyake ndio kushirikiana.Kama kuna utaratibu wa upinzani kushirikiana utangazwe hadharani, haiwezekani chadema iibuke ghafla na kujaribu kutudanganya ATI Leo wanaitaka CUF, si jambo jepesi, linahitaji mchakato, miezi kadhaa iliyopita nilimsikiliza Mbowe na SLAA wakihutubia mikutano kadhaa Mtwara, kila mmoja kwa wakati wake aliwataka wananchi waachane na CUF kwa sababu siyo chama cha upinzani na ni wasaliti. Katika Hali kama hiyo Leo wanatakaje kuandamana na wasaliti. I think CUF wana "aseti" ya muda mrefu. Mtatiro atawasaidia sana, ana msimamo na hayumbishwi, ndiyo maana chadema kila siku mnapambana eti atoke CUF aje kwenu. Akiendelea na msimamo wake atakuja kuwa kiongozi mkubwa zaidi ya halo, and infact in CUF, he is the only vibrant and consistent youth. Mtatiro usiyumbe, usifanye kazi kwa matakwa ya chadema, songs mbele.