masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Usijiridhishe kwa kuipanua mada hadi ikawa obsolete.Mkuu mbona unataka kufanya kila anaefatilia mjadala huu atuone hatuna akili?
1. Kwanini unasema cadema walifanya mkutano haramu, kama ndivyo vipi kule zanzibar ccm walifanya mkutano kwa kutumia sheria ya inchi gani? (kuwaruhusu maelfu zanzibar na kuwazui watu wachache kabisa pale nyororo) Thibitisha kwa nukuu ya vifungu vya sheria.
2. kifo cha mwangosi kilitokea katika ofisi za chadema au uwanjani na kama katika maeneo ya ofisi za chadema kwa mikutano ya maofisini ilizuiwiwa kwa tamko gani au namba ngapi na nani alisema mikutano ya ndani imezuiliwa? Rejea ccm zanzimba wa hadhara tena wa maelfu ya watanzani.
3. Katika mauwaji yale ushahidi wa picha unaonesha kwa mtazamo wako nani alimvamia mwingine chadema au polisi kuvamia ofisi?
4. Kwa mujibu wa watuhumiwa wa mauwaji ya mwangosi kuna chadema wangapi?
5. Kitu gani kilisababisha mwagosi kuwawa a) polisi walishambuliwa b) raia walikua na Silaha c) Upuuzi wa mkuu wa polisi kukosa hekima uvamia wanachama katika ofisi yao?
Mafisadi.
-CCM walikuja na wimbo wa kujivua gamba kama ilivyotangazwa na mwenyekiti Kikwete kwanini alileta hoja hii tueleze kwanii?
-Unajichanganya sana nikuulize wewe kwanini Edward Lowasa sio waziri mkuu badala yake waziri mkuu ni Pinda kwa nini?
-Bila mashaka yoyote toa sababu za kueleweka kama muelewa kwanini Rostam sio mbunge tena why? kumbuka ya karamagi,
msabaha, Edward Lowasa na Richmond - Bungeni.
-Tuambie kwanini tumepokea change ya rada kwanini? kwanini turudishiwe fedha? Je unaukumbuka ushauri tulopewa na wanigereza?
Sasa mkuu tujadili kama wenyeakili timumamu naomba upitie maelezo yangu mstari kwa mstari na tujadili kikamilifu na
wanaopitia maelezo yetu wasiwe na wasiwasi na uwezo wetu wa akili no propaganda.
Msingi wa mada hii ni kwamba CDM, kama alivyo mtoto aliyezaliwa jana, ni malaika. Hana cha kukosolewa.
Nimekupa mfano moja tu ambao naona unakuumiz kichwa na kukimbilia hukumu y mahakama ambayo haipo.
Fact is, mkubali kuwa mna madudu kwa vile CDMhaiongozwi na malaika, inaongozwa na binadamu wenyekufanya makosa.
Hivyo kusahihishwa na kukosolewa ni lazima.
Mkiendelea na msimamo huu ni lazima CDM kitakuwa chama cha kidikteta, kisichoona madudu yake.