'CHADEMA wanahusika'

Kila tukio lina specific circumstances zinazozunguka matukio hayo.

Lile la Mwangosi imebainika CHADEMA walitaka kupimana ubavu na polisi, yaliyotokea yametokea.
Mmmeambiwa kila kona kuwa at least wangetumia busara(wote CHADEMA na Polisi) kifo kile kisingetokea.
Kwa hiyo lawama zimeenda 50% polisi, na 50% CHADEMA/M4C.

Huwezi jivua lawama kama malaika, ukubali kukosolewa kama mnavyo wakosoa wengine.

Mkuu chadema haipimani nguvu na polisi,you are wrong!polisi walitangaza mikutano ya nje/hadhara haziruhusiwi ila ule ni mkutano wa ndani na polisi waliuvamia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wacha kudangaya umma, mkutano wa ndani halafu waandishi wa habari walioalikwa kibao, na wanachama kibao!
Kwa ukumbi upi uliopo Nyololo?
CHADEMA inahusika 50% na kifo cha Mwangosi, the other 50% ni sparring partners wenu polisi.
 
Kukithiri kwa rushwa nchini kukiongozwa na chama tawala ccm...............CHADEMA INAHUSIKA.
Uteuzi usiofaa wa mawaziri na watendaji wakuu wa serikali......................CHADEMA INAHUSIKA.
Serikali kutokuwa na nia ya kuendeleza nchi................................CHADEMA INAHUSIKA.
kuendeleza mfumo dhaifu wa uchaguzi na uchakachuaji kura.......... CHADEMA INAHUSIKA.
Kuongezeka kwa ukosefu wa ajira.................................................CHADEMA INAHUSIKA.
Kushuka kwa kiwango cha elimu nchini..........................................CHADEMA INAHUSIKA
Na kadhalika nakadhalika........nakadhalika................................... CHADEMA INAHUSIKA.

Jamani, ccm na serikali yake, jifunzeni kuwa wa kweli na kukubali udhaifu wenu. Katika hila na uwongo hakuna nia njema.
 
Wacha kudangaya umma, mkutano wa ndani halafu waandishi wa habari walioalikwa kibao, na wanachama kibao!
Kwa ukumbi upi uliopo Nyololo?
CHADEMA inahusika 50% na kifo cha Mwangosi, the other 50% ni sparring partners wenu polisi.

Mkuu mbona hujajibu swali langu ilikuonesha unachoongea kinaukweli na sio utunzi?

Rejea swali langu au nirudie?
 
Mkuu mbona hujajibu swali langu ilikuonesha unachoongea kinaukweli na sio utunzi?

Rejea swali langu au nirudie?

Mkuu na wewe nisaidie swali hili.
Tunaposema EL, RA na Chenge na wengine walipelekwa mahakama ipi.
Lakini ukweli unsbaki pale pale kuwa ni mafisadi.

Na nyie kubalini kukosolewa au kujikosoa.
 
Mkuu na wewe nisaidie swali hili.
Tunaposema EL, RA na Chenge na wengine walipelekwa mahakama ipi.
Lakini ukweli unsbaki pale pale kuwa ni mafisadi.

Na nyie kubalini kukosolewa au kujikosoa.

Mkuu siku zote nakataa ubabaishaji, jibu hoja kama ulivyotuwekea hizo 50% umezitowa wapi.

Mimi napenda kujifunza siku zote lakini nachukizwa sana na hoja za utunzi, tetea hoja yako 50% umezitowa wapi?

Narudia tena mahakama ilifanya maamuzi lini kuhusiana na kifo cha Daud mwangosi kiasi kwamba utuletee data za

kufikirika hapa?

Funguka mkuu wangu tetea maelezo yako kwa specific details with concrete evidence beyond doubts to the point we trust

your data and explanation and please don't mislead the target!!!!!
 
Mkuu swali langu umelielewa? naomba unieleweshe kulingana na swali lilivyo.

Teyari mahakama imetoa hukumu ya kifo cha mwangosi na adhabu ilikuwaje baada ya hukum hiyo kama ilitolewa?

Nimeuliza hivi ilikuthibitisha hizo lawama kwa 50% chadema na 50% polisi kuwa zinaukweli na ni halali!
Sielewi kwa nini unakimbilia mahakama wakati ukweli unaujua.
Na ndio maana nimekuuliza mahakama zilizo wahukumu mafisadi-hakuna.
Sasa wewe si kijana wa chekechea
CHADEMAs 50%-kuwaita wananchi katika kikao chenye utata, kuwamobilise wasndishi na wapambe

Polisi 50%- kutumia nguvu za kiuaji na bila weledi, kwa suala ambalo halikuhitaji nguvu hiyo.

Sasa mkuu Adolay kama huelewi mpaka ufafanuliwe na mahakamanayoita ya magamba, basi utashindwa kuchanganya na za kwako.
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha amin usiamin mwisho wa ccm umefika! Kilio cha wengi sauti ya MUNGU.
 
kwa idadi ya wasomi waliopo nchini na kiasi cha ushirikishwaji ktk mambo ya kitaifa, nadhani wataalam wetu walete mchango wao kwa kuisaidia serikali katika kufanya tafiti hata ndogondogo kama hizi ili kuepukana na maelezo ya kukurupuka bila tafiti yenye majibu yanayosemwa hadharani; hata wanaotajwa nadhani si busara kunyamazia shutuma kubwa kama hizi, ni wakati mwafaka wa ku-zijibu hapohapo zinapoletwa na baadaye kuwafikisha kwenye mkono wa haki hata kama haki isipotendeka; matukio ni mengi kwa kweli ambayo hata mengine watu wa kawaida tunafikiria link na kuikosa; but hata kama ni uongo ukiongewa sana bila kukanushwa wawezajulikana kuwa ndo ukweli
 
Sielewi kwa nini unakimbilia mahakama wakati ukweli unaujua.
Na ndio maana nimekuuliza mahakama zilizo wahukumu mafisadi-hakuna.
Sasa wewe si kijana wa chekechea
CHADEMAs 50%-kuwaita wananchi katika kikao chenye utata, kuwamobilise wasndishi na wapambe

Polisi 50%- kutumia nguvu za kiuaji na bila weledi, kwa suala ambalo halikuhitaji nguvu hiyo.

Sasa mkuu Adolay kama huelewi mpaka ufafanuliwe na mahakamanayoita ya magamba, basi utashindwa kuchanganya na za kwako.

Mkuu endelea na propaganda nimefunga mjadala

lakini data za kujitugia ilikujifariji na kuuweka pembeni ukweli nikuudharirisha utanzania wetu.
 
Mkuu endelea na propaganda nimefunga mjadala

lakini data za kujitugia ilikujifariji na kuuweka pembeni ukweli nikuudharirisha utanzania wetu.

Kwa nini usikubali ukweli na kukbali kukosolewa, mimi niko on rcord katika jamvi hili nikitahadharisha kuwa M4C ikienda Mbeya, kwa mtindo huu na olisi basi tujitayarishe kwa maafa zaidi.
Ukipenda kujiridhisha ita hiyo ni ropaganda.
 
Ni kauli ya kuudhi na kukata tamaa. Hutamkwa sana na viongozi-tena wa juu wa chama changu cha CCM na 'washirika' wake pale linapotokea tukio lolote,hasa lisilovutia. Wakiuawa watu na polisi,CHADEMA wanahusika;wakizomewa Mawaziri na viongozi wa CCM,CHADEMA wanahusika;wakigoma wanafunzi wa vyuo vikuu,CHADEMA wanahusika;wakiandamana waislam,CHADEMA wanahusika(?).Kila baya CHADEMA.

Hizi ni siasa za kipuuzi. Hazitachelewa kuchosha. Sasa,kwahiyo CHADEMA inakubalika kuliko wengine hadi kukubaliwa mipango yao nchi nzima? Eti,CHADEMA huwanywesha watu viroba ili wazomee?! Hakuna cha viroba,magunia wala pakacha....watanzania wanabadilika. Hawasomeshwi vya kutosha shuleni lakini maisha ni shule kuu zaidi. Wanahitimu kila siku.

Kama ni kweli CHADEMA inakishinda chama changu kiushawishi mashuleni,vyuoni,vijijini,masokoni,mijini na kwingineko,mbona uchaguzini hakitangazwi mshindi mara kwa mara? Kinana na wengine,kuanzia leo hatutaki kusikia kauli hii.Ikome na mpambane tumwone mshindi wa haki
Haya ni maneno mazito mkuu toka kwako,CCm imefilisika kifikra,kimuono,kisera na kimikakati hivyo kila jambo linapotukia wanajribu kujifichamia kwenye mgongo wa CDM,wanasahau kuwa nyakati zinabadilika sana hivyo watz wa miaka ya nyuma si wasasa kwa kuwa wanatambua haki zao na nani anazo,so wapo tayari kuzidai haki hizo.

Wakati fulani niliwahi kuwa na mzee mmoja ambaye ni kada wa chama cha mapinduzi,tukiwa nyumbani kwake mwanae alimuuliza baba yake juu ya mabo fulani fulani ya kifamilia lakini kwa msini wa kujenga hoja nadhani mama wa mtoto alimjenga kimawazo mwanae namna ya kuongea na baba yake,unajua nini kilitokea?Mzee alimfokea mwanae kiasi cha kuleta taharuki aple nyumbani na kusema kwa mwanae hayo mambo ya chadema chadema huko huko.So CCM haijitambui na mwenye kujenga hoja lazima ahisiwe ni mpinzani.Ukweli ni kwamba CDM imewashika pabaya!
 
"chadema inahusika" mkuu hii kauli mbiu huwa tunatumia kama self defence mechanism, hatuwezi kujitupia lawama sisi wenyewe kama chama na taasisi zake (polisi,F.F.U, T.I.S.S, green guards,etc..) raiyaa watatuchukiaje
 
Kwa nini usikubali ukweli na kukbali kukosolewa, mimi niko on rcord katika jamvi hili nikitahadharisha kuwa M4C ikienda Mbeya, kwa mtindo huu na olisi basi tujitayarishe kwa maafa zaidi.
Ukipenda kujiridhisha ita hiyo ni ropaganda.

Mkuu mbona unataka kufanya kila anaefatilia mjadala huu atuone hatuna akili?

1. Kwanini unasema cadema walifanya mkutano haramu, kama ndivyo vipi kule zanzibar ccm walifanya mkutano kwa kutumia sheria ya inchi gani? (kuwaruhusu maelfu zanzibar na kuwazui watu wachache kabisa pale nyororo) Thibitisha kwa nukuu ya vifungu vya sheria.

2. kifo cha mwangosi kilitokea katika ofisi za chadema au uwanjani na kama katika maeneo ya ofisi za chadema kwa mikutano ya maofisini ilizuiwiwa kwa tamko gani au namba ngapi na nani alisema mikutano ya ndani imezuiliwa? Rejea ccm zanzimba wa hadhara tena wa maelfu ya watanzani.

3. Katika mauwaji yale ushahidi wa picha unaonesha kwa mtazamo wako nani alimvamia mwingine chadema au polisi kuvamia ofisi?

4. Kwa mujibu wa watuhumiwa wa mauwaji ya mwangosi kuna chadema wangapi?

5. Kitu gani kilisababisha mwagosi kuwawa a) polisi walishambuliwa b) raia walikua na Silaha c) Upuuzi wa mkuu wa polisi kukosa hekima uvamia wanachama katika ofisi yao?

Mafisadi.

-CCM walikuja na wimbo wa kujivua gamba kama ilivyotangazwa na mwenyekiti Kikwete kwanini alileta hoja hii tueleze kwanii?

-Unajichanganya sana nikuulize wewe kwanini Edward Lowasa sio waziri mkuu badala yake waziri mkuu ni Pinda kwa nini?

-Bila mashaka yoyote toa sababu za kueleweka kama muelewa kwanini Rostam sio mbunge tena why? kumbuka ya karamagi,

msabaha, Edward Lowasa na Richmond - Bungeni.

-Tuambie kwanini tumepokea change ya rada kwanini? kwanini turudishiwe fedha? Je unaukumbuka ushauri tulopewa na wanigereza?

Sasa mkuu tujadili kama wenyeakili timumamu naomba upitie maelezo yangu mstari kwa mstari na tujadili kikamilifu na

wanaopitia maelezo yetu wasiwe na wasiwasi na uwezo wetu wa akili no propaganda.
 
Mkuu swali langu umelielewa? naomba unieleweshe kulingana na swali lilivyo.

Teyari mahakama imetoa hukumu ya kifo cha mwangosi na adhabu ilikuwaje baada ya hukum hiyo kama ilitolewa?

Nimeuliza hivi ilikuthibitisha hizo lawama kwa 50% chadema na 50% polisi kuwa zinaukweli na ni halali!

Hana uwezo wa kukujibu mkuu. Si unajua ameahidiwa posho ili atete CCM?
 
"Hakuna cha viroba,magunia wala pakacha....watanzania wanabadilika. Hawasomeshwi vya kutosha shuleni lakini maisha ni shule kuu zaidi. Wanahitimu kila siku"...

Wakuu,

Mleta huu uzi amenivunja mbavu! Lakini zaidi, hiyo Quote hapo juu nimeipenda. Watanzania ni wapole, wanaipenda amani, lakini hawataweza kuvumilia njaa inayotokana na umasikini unaosababishwa na viongozi wasio wabunifu, wezi, wabinafsi na waraghai. Kama hawataweza kulejesha tumaini la maisha yao wao wenyewe, Mungu tunaye mwomba atafanya hivyo.
 
Hana uwezo wa kukujibu mkuu. Si unajua ameahidiwa posho ili atete CCM?

Mkuu wangu hawa watunzi wa maneno wanatuaibisha sana, wanaliaibisha jukwa na wanawaibisha watanzania kwa ujumla.

Huyu mtu anafananisha ufisadi wa Lowasa na msiba wa mwangosi ni dharau sana kwa marehem, hajiulizi kama sio kweli

kwanini Lowasa sio waziri mkuu (haoni ukweli hapo akili zake zimepinda kabisa) nk

Mkuu watanzania wenzetu wameweka uzalendo kando na kuitetea ccm kwa hoja za uzushi na kufikirika. Baba, mama na ndugu

zao huko vijijini wanateseka sana kwa ugumu wa maisha uloasisiwa na ccm, hili hawalioni.
 
Na CCM ni chama safi kabisa ila waliokamata nyadhifa ndani ya chama hicho ndiyo wanashida tena kubwa sana.

Na laana ya CCM yenu itawala na vizazi vyao vyote.
 
Back
Top Bottom