Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.
Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
Arusha kimekuwa kichaka cha cdm kujificha, 2015 inabidi kifyekweWadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.
Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
Mbona ni kama haujui mada inahusu nini, vipi umevurugwa nini?muhas slaa alikuwepo kwenye uzinduzi wa tawi labda nikuulize na wewe swali kama hili
Chanzo cha mabomu madelu mwegulu
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajuiKwanza acha uongo Uchaguzi huo ulifanyika juzi Jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa nne. Uwepo wa mzee Mtei na Mbowe sio jambo la kushangaza. Wanaweza wakawepo katika uchaguzi wowote itategemea na muda na maandalizi. Na sio kwamba ni kweli kuwa hao walikuwa wasimamizi au waangalizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei yeye kama Muasisi wa Chama alienda pale baada ya kualikwa na uongozi wa chama. Na iliwezekana yeye kwenda kwa sababu ya urahisi kutokana na yr kuwa na makazi Arusha. Mbowe yeye alienda baada naye kualikwa. Mbowe alikuwepo Arusha alipokuwa anahudhuria mkutano wa Common Wealth. Alienda pale kwa dakika chache akahutubia kidogo kisha akatoa vyeti vya pongezi kwa waliokuwa Viongozi wa Chadema Wilaya ya Arusha. Baada ya hapo aliondoka kurejea kwenye mkutano wa Common wealth. Hakuwa msimamizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei na Mbowe hawakuwepo wakati uchaguzi unafanyika.
Rais akiwa mgeni rasmi kwenye baraza la eid, ina maana ana maslahi na watu wanaoamini huko?... Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. ...
Mkuu, kama kuna watu wanaihenyesha CHADEMA basi ni hawa Mwigulu na WassiraMwigullu na wasira wanatoa kamasi sana
Kwani mabaraza ya Eid yanafanyika sehemu ngapi kitaifaa?Rais akiwa mgeni rasmi kwenye baraza la eid, ina maana ana maslahi na watu wanaoamini huko?
Na kitafyekwq tu safari hii. Ndo maana mtu na mkwewe wameamua kuelekeza nguvu huko kunusuru haliArusha kimekuwa kichaka cha cdm kujificha, 2015 inabidi kifyekwe
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.
Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
Yes, Dr Slaa alienda MUHAS kwa vile kulikuwa na maslahi kwake. Dr Slaa ni mwanasiasa wa matukio. Baada ya viungo vya binadamu kutelekezwa na hospitali ya IMTU, Dr Slaa akaona kuwa hapo ndo pakutokea. Ndo maana akaomba awe mgeni Rasmi ili aeleze hisia zake kutokana na tukio hilo. Ndivyo alivyofanyamuhas slaa alikuwepo kwenye uzinduzi wa tawi labda nikuulize na wewe swali kama hili
Huyu nicasc mtei ndo wale wale mkuu wana ukoo wa cdmWell, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui
Lema.lazima.awe kaburi la cdm arusha, kwa mabomu hayo tusubiri tuBinafsi nilihudhuria, lakini UDINI bado ni tatizo kubwa. Na kibaya zaidi Lema alikuwa na mtu wake Bw Innocent.
Haukuwa uchaguzi huru kabisa...
Unaweza kutolea ushahidi wa hilo?ukombozi wa nchi hii ulianzia Arusha