CCM wala nchi yao vemaWatumishi wa mkoa wa Dares salaam wameumbuliwa na Chadema baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.View attachment 2393373
😲😲Hiyo bado ndogo inatakiwa iwe angalau laki 3.5 kwa mtu mmoja.
Kusomea ubadhirifu.Aliyekuzuia kusoma nani?
Kwani na chadema nao siku izi wanapinga ufisadi??Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma...
Kweni hujamuelewa msemaji mpya wa CHADEMA?Kwani na chadema nao siku izi wanapinga ufisadi??
Vitu vya kawaida hivyo,hivyo viwango vya posho vipo kisheria,hawakuamka asubuhi na kujipangia,viwango vina baraka za mamlaka za juu.Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.
View attachment 2393373
Dadavua issue ya parking Chief.Makalla jiji linamshinda,nimeona kwa mange huko insta jinsi watu wa jiji wanavyobambikia raia parking za magari ni aibu aisee