CHADEMA wamuweka Magufuli mtu kati Jijini Mwanza

nyampanaga

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,104
559
Wakati Magufuli atakuwa Kirumba Tarehe 24 akifunga Kampeni zake, Kingunge atakuwa Ilemela akifunga Kampeni.

Sumaye atakuwa Nyamagana, Mikutano hiyo ni gumzo hapa mjini, Sijui kama itawezekana kwa CCM kusomba watu toka Wilaya za jirani, kwani kuna hatari ya kushindwa kuwarudisha mapema na hivyo kuathiri kura za CCM maeneo walikowatoa.
 
Napata moyo nikisoma thread kama hizi kujua makamanda sehemu nyingine harakati zinaendelea huku kwangu watu wamerogwa na ccm
 
Wakati Magufuli Atakuwa Kirumba Trh 24 Akifunga Kampeni Zake, Kingunge Atakuwa Ilemela Akifunga Kampeni,na Sumaye Atakuwa Nyamagana.Mikutano Hiyo Ni Gumzo Hapa Mjini, Sijui Kama Itawezeka Kwa Ccm Kusomba Watu Toka Wilaya Za Jirani,kwani Kunahatari Ya Kushindwa Kuwarudisha Mapema Na Hivyo Kuathiri Kura Za Ccm Maeneo Waliko Watoa.
Halafu Mkuu Lowassa atakuwa Dar akifunga kazi ili kuwahakikishia Ushindi Watanzania. Hapa ndipo unatakiwa kuvijua vizuri vkosi hivi M4C, 4U Mov, Toroka Uje, Vuka mto, Team L na ULIPO TUPO. Haponi Mtu.
 
Back
Top Bottom