Chadema wamnunua pinda

Chadema wamnunua pinda

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,139
CHADEMA watu wabaya sana..wamemshinikiza pinda awatishe madaktari na kupiga marufuku mikutano yao ktk ukumbi ambao walikuwa wameshaulipia
 
hahaaa chadema kila kitu wanasukumiwa wao mweee
 
Na taarifa za kiintelijensia zinasema chadema ndio walisababisha mafuriko yaliyotokea Dar mwishoni mwa mwaka jana!
 
chadema hiyo hiyo imemshawishi rais apige picha na Cameroon! mhhh.bora mimi ccj
 
Chadema wabaya sana wamesababisha mtoto wangu kakataa kuoga jana jioni.
 
Chadema walisababisha man utd afungwe na liva.
 
Dah chadema wabaya nyie! Yani nimesaini coursework za ajabu na pepa zimekuja zimekunjwa dah chadema noma! Nkipata sapu ni chadema!
 
Chadema noma eeeh kweli yahni nilikuwa na nondo yangu nlikua napiga chabo kwenye test ya maths jana chuo teacher kaifumania ghafla dduuu nililowa jasho mwili mzima hawa chadema wamesababisha wabaya sana!!!!!!!
 
Mke wangu aligoma kulala na mimi jana - alisusa chumba cha wanandoa, akidai 'hakuna kulala mpaka kieleweke'. Lo Chadema hawa!
 
Yaani hawa CDM,Wamesababishia Presida wetu atoe ahadi ya uongo ya kujenga mahakama ya Africa,Wakati pesa hakuna!
 
Na nimesikia sasa hivi (kutoka reliable person ndani ya chama) kuwa chadema wanaandaa mgomo wa wenye maduka ya madawa wafunge maduka. Eti kwa nini madaktari hawaendi kazini kuwaaandikia wagonjwa waende kununua dawa kwenye maduka yao (FAMASI)...lol
 
Back
Top Bottom