hivi Nyerere alikuwa kachaguliwa na nani alipokuwa kiongozi wa Tanzania wakati wa uhuru?Wewe ni kilaza,huyo Nape ni vuvuzela anayetegemea hadi ateuliwe na baba yake mdogo Kikwete hajawahi kuchaguliwa hata lever ya umonta darasani na wananchi,siku zote huteuliwa,kwa hyo hana jipya mana si chaguo la watu,awaache waongee wanasiasa wakongwe waliochaguliwa na watu,yeye Nape ni kula kulala,subirini 2015 muione nguvu ya uma inaposhinda! Viva Chadema
hivi nyerere alikuwa kachaguliwa na nani alipokuwa kiongozi wa tanzania wakati wa uhuru?je! alikuwa ni vuvuzela! hivi mtu kama hakuchaguliwa maana yake hana kakili?wewe ulishawahi kuchaguliwa kipindi na mahali flani?
nenda kajipongeze na viroba kwa kuanzisha thread na kusomwa...
Katika hali ya upepo ya kisiasa, Chadema wamekuwa wakihaha kila kukicha pindi Nape anapokuwa anatoa sera za kisiasa juu ya Chama kikuu cha upinzani Tanzania bara (CHADEMA) kwa nukuu mbali mbali; Mfano: Nape hivi karibuni amesema Dr. Slaa ni mwanachama wa CCM, na yeye bila hiyana akajitokeza na kukiri kuwa ni kweli kwa kumiliki kadi ya CCM. Na nyingine nyingi hadi viongozi wa Chadema wakatishia kwenda Mahakamani kitendo ambacho sasa, kesho na keshokutwa hakitawezekana ama kwa uoga au kukosa wataalamu wa kisheria....
We tata mura ni mzigo kama mizigo mingine tu ya magamba (CCM). Mnatoka na thread za kipuuzi/kijinga mkiamini wa tz wote ni wadanganyika. Wewe na Nape waathirika wa uchakachuaji wa elimu ambayo inatakiwa imuongoze binadam aongee nini, aseme mbele ya watu. Hoja ya kijinga ya umilikaji wa kadi inaonyesha jinsi msivyotambua mipaka ya umilikaji wa kadi za chama cha siasa. Kama alivyofafanua wakili Kimong'oro kadi ya chaam ni mali ya mwanachama hivyo pindi akiacha ana halali ya kuitunza au kuitupa au kuchoma moto. Kinachowanyanyua watu na akili zao kuingia barabarani na hoja yenye ***** inashangaza sana. Waambieni watz mna mpango wa kuwafanyia nini kuondoa umaskini baada ya kusota miaka 51 ya uhuru si vinginevyo. Tambueni kuwa watu sasa wameerevuka na kujua haki zao.
Mawazo kama haya msitegemee ukombozi wa nchi hii utakuwa rahisi. Tena ukute huyu ni msomi ana degree, lakini anaandika kitu cha kijinga kabisa. Tuna safari ndefu sana kufika huko tunakokutaka. Mwenye akili timamu hawezi angashangilia ujinga anaoufanya bwana nape na ccm yake, ila ipo siku haya yote yatakoma.
hivi nyerere alikuwa kachaguliwa na nani alipokuwa kiongozi wa tanzania wakati wa uhuru?je! alikuwa ni vuvuzela! hivi mtu kama hakuchaguliwa maana yake hana kakili?wewe ulishawahi kuchaguliwa kipindi na mahali flani?